Hii ni Breakfast ya 1500. Akili mtu wangu!

Watu kitaa hio ni Budget ya Siku wewe unaongelea kifungua Kinywa ? (Wengine mpaka budget ya siku tatu)

Lakini apart from Bei huo ni mlo safi sana; Ingawa kama hio mihogo imekaangwa na unaongelea Afya nakupunguzia maksi kwenye kukaanga (Breakfast is the most Important Meal of the Day)
 
Humu watu kwa kujifanya bab k
Hiyo ndiyo breakfast ya kibabe sasa
Mm kuna mahali nikiendaga asubuhi napiga walu maharage chai,1700/

Ova
 
kula unavyokula kupata supplements ni lazima kwa sababu vyakula mnavyokula haviwezi kukidhi kiwango cha viinilishe vinavyohitajika mwilini kila siku
Hivi hizi supplements hazina shida kiafya huko baadae kwa matumizi endelevu.

Bei yake yenyewe si haba! Mfano ni Tshs 700-1000/kidonge kwa Vitamin B supplements pekee.
 
Hivi hizi supplements hazina shida kiafya huko baadae kwa matumizi endelevu.

Bei yake yenyewe si haba! Mfano ni Tshs 700-1000/kidonge kwa Vitamin B supplements pekee.
hazina shida mkuu. tumia. bora utoe leo 700 hiyo kww kila kidonge kuliko kesho ya milioni kutibu maradhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…