chillo clan conscious
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 850
- 1,567
Chakula kinaliwa na wala hakipigwi pichaNi ushauri lakini ukiufuata utakufaa hakikisha katika kila mlo unaokula hasa huu wa asubuhi usile carbohydrates peke yake changanya na protein na vitamin pembeni maana usiku cell zimefanya kazi kuzifanyia repair inabidi upate protein fulani aidha mayai, vipande vya nyama ila mimi napendelea zaidi maharagwe kwanza bei yake nzuri bakuli la Jero Safi kabisa ni protein hata ya siku nzima hiyo.
Sasa unakuta mtu asubuhi anakula Mihogo peke yake au Chai na mandazi peke yake.
Maisha mbona simple tu kwenu nyie Wana jf ila najua kitaa huko kigumu wako watu hata kipande cha muhogo ni kipengele.
View attachment 2957294
Acha uongo hapo patakuwa maskani sio mgahawaniHumu watu kwa kujifanya bab k
Hiyo ndiyo breakfast ya kibabe sasa
Mm kuna mahali nikiendaga asubuhi napiga walu maharage chai,1700/
Ova
Kwani maharage siyo protein? Au unamaanisha ni protein ya daraja la chini?Hapo ni wanga and fiber plus mafuta kwenye hio supu/mtori no protein
Kwa sisi Wabongo bila chae hiyo sio breakfast ni lanche!Ni ushauri lakini ukiufuata utakufaa hakikisha katika kila mlo unaokula hasa huu wa asubuhi usile carbohydrates peke yake changanya na protein na vitamin pembeni maana usiku cell zimefanya kazi kuzifanyia repair inabidi upate protein fulani aidha mayai, vipande vya nyama ila mimi napendelea zaidi maharagwe kwanza bei yake nzuri bakuli la Jero Safi kabisa ni protein hata ya siku nzima hiyo.
Sasa unakuta mtu asubuhi anakula Mihogo peke yake au Chai na mandazi peke yake.
Maisha mbona simple tu kwenu nyie Wana jf ila najua kitaa huko kigumu wako watu hata kipande cha muhogo ni kipengele.
View attachment 2957294
Jina la Kwanza tumia popote ila kama wewe ni mwanafunzi tumia la piliHivi huwa yanaitwa maharage au maharagwe?
Duh!!! break fast unapiga maharage.Ni ushauri lakini ukiufuata utakufaa hakikisha katika kila mlo unaokula hasa huu wa asubuhi usile carbohydrates peke yake changanya na protein na vitamin pembeni maana usiku cell zimefanya kazi kuzifanyia repair inabidi upate protein fulani aidha mayai, vipande vya nyama ila mimi napendelea zaidi maharagwe kwanza bei yake nzuri bakuli la Jero Safi kabisa ni protein hata ya siku nzima hiyo.
Sasa unakuta mtu asubuhi anakula Mihogo peke yake au Chai na mandazi peke yake.
Maisha mbona simple tu kwenu nyie Wana jf ila najua kitaa huko kigumu wako watu hata kipande cha muhogo ni kipengele.
View attachment 2957294
nyie ndio mnatunyampiaga makazini...😂Maharage ni chakula muhimu sana asubuhi.
Kwani maharage huwa yanachemshwa na oil?maharage yamechemshwa na maji,aise!! mnakula mavitu ya ajabu.
Huko kwenu wenzetu mnachemshia petroli?maharage yamechemshwa na maji,aise!! mnakula mavitu ya ajabu.
Sasa tubaki na sumu Mkuu. Unakuta mtu hacheuwi bado kujamba hajambi na bado anajiona yupo normal kabisa.nyie ndio mnatunyampiaga makazini...😂
Maharage iyo gwe ipo kwenye matamshiHivi huwa yanaitwa maharage au maharagwe?
Dah hatari sn, gas na usingizi vinahusika hapoili mtujambie maofisini
Vinaitwa Njunju...Nimependa viatu...
Kumbe😃Vinaitwa Njunju...