Hii ni CCM toleo la 4 na la mwisho; hakuna CCM nyingine baada ya hii!

CCM inaenda kuongozwa na Kina Nassary, Mashinji, Lijuakali, Msando, Nick wapili, Jerry Muro na wahamiaji haramu kibao...
@BiaYetu
@Kawealumni
Crimea
Lizaboni
@Faixafoxy
Elitwege
Bashite
N.k wanaenda kuwa wapenzi watazamaji.
Lisit ni ndefu

1.Kipara kipya
2. Stroke
3. Magonjwa mtambuka
4. Streinght
5. TrollJF
6. Butannica
7.Mama D
8. Cocochanel
9. Mudawote
10.pascal mayalla
12. countrywide
13......etc
 
we mzee niliishakwambia uchawi huwezi acha.umezaliwa kuwa mlozi.

kuamini nasari,mashinji,lijualikali wametoka nje ya ccm si tu ni upuuzi,ni kutomjua adui mnayepigana naye vyema.

endeleeni kuwakagua wanachama wenu walio mstari wa mbele mtagundua wote ni ccm.
 
Hivi mtu mzima na akili zake anawezaje kusifu kazi ya mtu mwingine? Mtu mwenye akili timamu anapongeza siyo kusifu. Mtu anayesifu ni mnafiki, mbinafsi, mnaa, chawa na asiyejiamini.
Anayependa kusifiwa ni tatizo zaidi kuliko hata anayesifu.
 
CCM inaenda kuongozwa na Kina Nassary, Mashinji, Lijuakali, Msando, Nick wapili, Jerry Muro na wahamiaji haramu kibao...
@BiaYetu
@Kawealumni
Crimea
Lizaboni
@Faixafoxy
Elitwege
Bashite
N.k wanaenda kuwa wapenzi watazamaji.
Achen wivu nani aliyesema ccm ni mali ya mtu , hakuna ccm asili wala maknikia hao asili wamelifikisha taifa wapi zaidi ya wizi wa mali za umma acheni watu wafanye kazi hakuna mwenye hati miliki wa nchi kwa kigezo za chama kila mwenye sifa ya kuwa kiongozi ana haki ya kufanya kazi na kuwa kiongozi bila kujali ametoka chama gani
 
Thubutu !
 
Idugunde amelazwa hospitali kwa shinikizo la damu! Mimi ni jamaa yake wa karibu. Kiufupi bado mpaka sasa haamini kama ameachwa kwenye huu uteuzi! Yaani mpaka Bia yetu kapata! Ila yeye eti kaachwa!
Duh balimi ndani ya nyumbi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shikamoo uteuzi
 
Mpaka sasa hakuna upinzani unaoweza kuitoa CCM madarakani. Haupo.
Kaa ukielewa kwa Sasa upinzani wa CCM itatoka kwa CCM wenyewe,yatatokea Kama yaliyomkuta Raisi wa Malawi Joyce Banda.
 
Kipindi cha mtikisiko wa wana mtandao mwaka 2015 ilidhaniwa CCM inakwenda na maji.....

Haikuwa hivyo....alikwenda na maji Lowassa!!
Haikuwa hivyo.....alikwenda na maji Membe........

CCM IPO sana kwa kuwa ni chama cha MAPINDUZI......

Hiyo katiba mpya HAITOKUJA....HAITOKUWEPO....labda kufanyike MAPINDUZI ya kukitoa madarakani chama cha MAPINDUZI .....

Tanzania ni CCM na CCM ni Tanzania.......

Alale salama hayati mama ASHA BAKARI aliyesema "HATUITOI NCHI KWA MAKARATASI" Aaamin Aaaamin!

#SiempreHastaLaVictoriaCCM
#VivaCCM
#AlutaContinua
#KaziInaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…