Hii ni dalili wanajua Hukumu ya Lisu

Lissu amekuwa sadaka yenye nguvu pindi akiwa hai, atakuwa sadaka yenye nguvu mara dufu CCM mkimnyonga

Kwa tarifa yenu Maccm, hamtaamini kitachowakuta, tarifa kama hizi, ni za kijinga sana pindi zinapisemwa tu, kwa kuwa ni za kiroho zaidi, basi logweni mmnyonge Lissu

Nchi hii itaokoka yote na vichwa vingi vya wendawazimu vitaliwa ili wenye haki wa Mungu watawale kwa amani
 
Duh mange kmv na maria sarungi waje aongoze maandamano ya kupinga hukumu
 
Dogo, kunywa maziwa ya mama, ukikuwa utaelewa
Matusi na kejeli hazisaidii mkuu

Chama hakiwezi endeshwa na mange kmv na maria.

Kamawanataka mabadiliko waje bongo tupambne pamoja kwa ushirikiano sio sisi tupo ground wao wapo Twitter na Instagram.
 
Juzi hapa nilitoka kuandika kitu kimoja.

Kinachofanyika sasa ikiwemo ishu ya Lema ni kutengeneza mazingira Lissu akitoka gerezani asikute watu nje ya mahakama na mji utulie ili wamkatishe tamaa na waitumie hiyo kama sehemu ya propaganda.

Kauli ya Murilo haimaanishi sana kwamba Lissu atahukumiwa kifungo/kifo, nia ni kuogopesha watu wasijiandae kwa ujio wake ili asipate reception kubwa.

Imagine nguvu iliyotumika MO29 kuzuia waandamanaji wasifike Magomeni, Kariakoo na Posta halafu safari hii mtiti unaoweza kuanzia pale pale Posta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…