Hii ni dalili wanajua Hukumu ya Lisu

Hii ni dalili wanajua Hukumu ya Lisu

Nahisi watampiga mvua tatu, kupoteza maboya coz kipengele cha kumuachia huru kigumu
 
Lissu hatahukumiwa kunyongwa.... Samia atakufa vibaya.... Kama haamini hili ajaribu!!. Damu ya Lissu imeenda na Magufuli, imeenda na Polepole!!.
 
!
Kwa kauli hii wanajua hukumu itakuwaje!

Time will tell
ni jambo la kawaida hilo ili kukuabiliana na ghasia za wanachadema na wafuasi wa kanisa linalosapoti ghasia na fujo hizo za chadema.

walikabiliana wakati wote wa kesi, na ni muhimu kuwadhibiti pia wakatia wa hukumu :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom