hii ni danger kwa wana SAUT first year

hii ni danger kwa wana SAUT first year

LOMP

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
215
Reaction score
21
wanafunzi wa first year SAUT wamejikuta wakiwa hawana la kufanya baada ya kupigwa kalenda juu ya boom.trh haijulikani?
 
wanazifanyia biashara ili ziongezeke
ila
poleni
wa kwanza atakua wa mwisho
mlianza kufungua Boom mtakua wa mwisho kulipata
 
Mmesaini juzi juzi tu, mwataka hela subiri ijumaa pesa itakuwa kwenye akaunt zenu...
 
ngoja hiyo friday ifike tuone kama watatupiga kalenda.
 
Mambo za boom,sina hamu,wenzenu wamezutia fixed acc wapate cha juu.
 
Metal SAUT nini ------- Wewe? Kwa Taarifa Yako Product Ya SAUT sasa hivi ndiyo inayotamba ktk Soko la Ajira na Wanafunzi Wake Wengi ni Very Competent na kwa Uthibitisho tu Fanya Utafiti wako Mwenyewe. Umeniudhi na Umenikera na Inaonekana Wewe Umetumwa na Watu Fulani kwa Maslahi Fulani na Najua Pengine Utakuwa Umesomea Chuo chetu cha Kimagumashi cha Jijini ambacho Sasa Kimebaki Jina tu. Nakipenda Chuo Kikuu changu cha SAUT na Nipo Tayari Kukitetea Kwa Ubora na Sifa Zake mpaka Pumzi Yangu Ya Mwisho. We Build the City of God! Vyuo bora sasa Tanzania ni Vitatu tu SAUT, MZUMBE na TUMAINI na hili Halina Ubishi. Na Degree Yangu Ya SAUT Huwezi hata Kunisimamisha na Mtu wa Masters wa Chuo chako hicho METAL na Mafanikio Yangu Ya Leo ni Jitihada na Ubora wa SAUT na hapo Nilipo Kikazi Ninatisha ile mbaya na Ninakubalika Kuliko hata Wapuuzi waliotoka Chuo Kikuu Kikongwe cha METAL. Wahadhiri Wangu Wote wa SAUT Mwenyezi Mungu awabariki sana.( 2006 - 2009 ).
 
bum washamaliza wengne. Wanasubiri bumu lijalo wengine, kwan walikuwa na maden wengine,
 
Saut ni chuo bora kwa sasa kuliko hata lile lichuo kongwe la pale Dar.
 
Afadhali umempa huyo pimbi.
 
collage au college??? ndo mnavyodanganywa na wahadhiri wenu,pumbafu ww
 
Back
Top Bottom