Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanafunzi wa first year SAUT wamejikuta wakiwa hawana la kufanya baada ya kupigwa kalenda juu ya boom.trh haijulikani?
watu wamefungua tar 12 na boom lishatema aisee ki digital zaidi
ngoja hiyo friday ifike tuone kama watatupiga kalenda.
Metal SAUT nini ------- Wewe? Kwa Taarifa Yako Product Ya SAUT sasa hivi ndiyo inayotamba ktk Soko la Ajira na Wanafunzi Wake Wengi ni Very Competent na kwa Uthibitisho tu Fanya Utafiti wako Mwenyewe. Umeniudhi na Umenikera na Inaonekana Wewe Umetumwa na Watu Fulani kwa Maslahi Fulani na Najua Pengine Utakuwa Umesomea Chuo chetu cha Kimagumashi cha Jijini ambacho Sasa Kimebaki Jina tu. Nakipenda Chuo Kikuu changu cha SAUT na Nipo Tayari Kukitetea Kwa Ubora na Sifa Zake mpaka Pumzi Yangu Ya Mwisho. We Build the City of God! Vyuo bora sasa Tanzania ni Vitatu tu SAUT, MZUMBE na TUMAINI na hili Halina Ubishi. Na Degree Yangu Ya SAUT Huwezi hata Kunisimamisha na Mtu wa Masters wa Chuo chako hicho METAL na Mafanikio Yangu Ya Leo ni Jitihada na Ubora wa SAUT na hapo Nilipo Kikazi Ninatisha ile mbaya na Ninakubalika Kuliko hata Wapuuzi waliotoka Chuo Kikuu Kikongwe cha METAL. Wahadhiri Wangu Wote wa SAUT Mwenyezi Mungu awabariki sana.( 2006 - 2009 ).
hivi SAUT nacho chuo kikuu?
Afadhali umempa huyo pimbi.Metal SAUT nini ------- Wewe? Kwa Taarifa Yako Product Ya SAUT sasa hivi ndiyo inayotamba ktk Soko la Ajira na Wanafunzi Wake Wengi ni Very Competent na kwa Uthibitisho tu Fanya Utafiti wako Mwenyewe. Umeniudhi na Umenikera na Inaonekana Wewe Umetumwa na Watu Fulani kwa Maslahi Fulani na Najua Pengine Utakuwa Umesomea Chuo chetu cha Kimagumashi cha Jijini ambacho Sasa Kimebaki Jina tu. Nakipenda Chuo Kikuu changu cha SAUT na Nipo Tayari Kukitetea Kwa Ubora na Sifa Zake mpaka Pumzi Yangu Ya Mwisho. We Build the City of God! Vyuo bora sasa Tanzania ni Vitatu tu SAUT, MZUMBE na TUMAINI na hili Halina Ubishi. Na Degree Yangu Ya SAUT Huwezi hata Kunisimamisha na Mtu wa Masters wa Chuo chako hicho METAL na Mafanikio Yangu Ya Leo ni Jitihada na Ubora wa SAUT na hapo Nilipo Kikazi Ninatisha ile mbaya na Ninakubalika Kuliko hata Wapuuzi waliotoka Chuo Kikuu Kikongwe cha METAL. Wahadhiri Wangu Wote wa SAUT Mwenyezi Mungu awabariki sana.( 2006 - 2009 ).
friday ndo hii, je mmeshapata ?
ww ni kijana wa kizazi cha mulugo,so mnatuharibia hali ya hewa humu jamviniAfadhali umempa huyo pimbi.