hii ni danger kwa wana SAUT first year

hii ni danger kwa wana SAUT first year

Nadhani BOOM lenu litakuwa hewani hivi Punde, Mwaka jana kulikuwa na urasimu ila alie kuwa anashughulikia amehamishiwa kwingine (Jina kapuni). Nacho waomba wana SAUT muwe wavumilivu nadhani mnatambua uwepo wa SAUT hapa Tanzania jinsi inavyo tishia maisha ya vyuo vya serikali, hivyo basi siasa ni kama dawa kwa serikali yetu ili kuwakatisha wanafunzi wa Private Universities. Hakuna cha kuwa zinatumika kuzalisha riba wala nini Trust Me, hamna kitu kama hicho, very soon mtazipata.

Bwana Yesu Asifiwe!!!

Kijana boom 2shapewa 2 weeks ago! Ndo mana wengne wanakwambia wamebakiza 62,000/
 
Kijana boom 2shapewa 2 weeks ago! Ndo mana wengne wanakwambia wamebakiza 62,000/

Ha ha ha ha ha ha, duuh hii nomaaaaa!! Msisite kukopeshana kwa wenye kasi ya kutumia, ambao hawajapata, bt be careful
 
mliopo saut c mlifeli form 6? sasa iweje muwe bora wakati tunawafahamu uwezo wenu? au kisa kubebwa na hyo mi GPA ndo mnajiona bora? huwezi kunishawishi kama saut nacho chuo. bora ukae kimya coz mlifeli form 6 sasa mnaleta dharau

aliyefeli mama yako p*mbu ww watu tuna magamba yetu tuko hapa saut

#umesabibishia ban kenge jike ww
 
Yaani wewe unayesema SAUT chuo cha waliofeli nadhan zimekuruka mimi ni product ya saut 4m4 div 1, 4m6 two, gpa ya 4.4, kama unabish nipe email yako niku2mie vyet vyangu nawe unitumie vyako. Acha kubwatuka SAUT tishio kwa VYUO NDO MAANA wanashangaa hela wanatoa hela wapi kusambaza tz nzma! udsm ina miaka 60 ina branch ngap fikiri ww
 
Nyambafu uliefeli ww, au unafikiri kila aliyeko SAUT ana div 3? After all nani amekwambia wenye div 3 wamefeli? Acha kuishi kwa historia! Nimeshuhudia watu wengi wenye nyodo kama zako o-level wamepata div 1 wakabweteka advance na kuangukia pua! Kwahy nakutaka ustrugle upate matokeo mazur chuo historia yako ya o-level na advanc haikusaidii ktk ufaulu wako chuo! Tukishafanikiwa kuingia versity wote 2naanza upya!! Kazana upate first class sio kubweteka ati una div 1 advanc!

Achana na huyo pimbi watu tunakula bata huku Duniani toka hapo hapo SAUT.Ngoja waendelee na majivuno ila fainali ni huku kitaa.
 
mliopo saut c mlifeli form 6? sasa iweje muwe bora wakati tunawafahamu uwezo wenu? au kisa kubebwa na hyo mi GPA ndo mnajiona bora? huwezi kunishawishi kama saut nacho chuo. bora ukae kimya coz mlifeli form 6 sasa mnaleta dharau

Kweli kabisa mama SAUT siyo chuo kikuu na wala hakitambuliki TCU.Fainali ni kitaa ndiyo utajua maana ya maisha baada ya kusoma,sasa hivi ulimbukeni unakusumbua.Pole sana.
 
Kweli kabisa mama SAUT siyo chuo kikuu na wala hakitambuliki TCU.Fainali ni kitaa ndiyo utajua maana ya maisha baada ya kusoma,sasa hivi ulimbukeni unakusumbua.Pole sana.

Unaweza kuta huyo ni first year huyo bas kaons kafika mlimani kumbe hata presentation hajui inafanyikaje anajua comprehensive huyu?...uozo mtupu atupishe sie na atuache wana SAUT tulale kama anabisha atuambie anasoma nin na wapi n tuanze arguing wit facts...hopeless huyo achanen nae
 
chuo chako bora kivipi,UDSM ni chuo bora sana barani Afrika na ulimwenguni pia,hivi chuo chako hata top 200 ya vyuo vikuu barani AFrika hakipo,au unashabikia kwa sababu umechguliwa huko na pia wahadhiri wako wengi ni product ya UD.
acha kukoropompo! kama wahadhiri wa vyuo vingine wanatoka UD na wa UD wanatoka wapi?
 
Yaani wewe unayesema SAUT chuo cha waliofeli nadhan zimekuruka mimi ni product ya saut 4m4 div 1, 4m6 two, gpa ya 4.4, kama unabish nipe email yako niku2mie vyet vyangu nawe unitumie vyako. Acha kubwatuka SAUT tishio kwa VYUO NDO MAANA wanashangaa hela wanatoa hela wapi kusambaza tz nzma! udsm ina miaka 60 ina branch ngap fikiri ww
Katika wakati tulionao siyo wa kutishiana vyeti bali unauwezo wa kufanya nini.
 
Back
Top Bottom