hii ni danger kwa wana SAUT first year

hii ni danger kwa wana SAUT first year

Saut ni chuo bora kwa sasa kuliko hata lile lichuo kongwe la pale Dar.
chuo chako bora kivipi,UDSM ni chuo bora sana barani Afrika na ulimwenguni pia,hivi chuo chako hata top 200 ya vyuo vikuu barani AFrika hakipo,au unashabikia kwa sababu umechguliwa huko na pia wahadhiri wako wengi ni product ya UD.
 
hivi SAUT nacho chuo kikuu?
with all the due respect sir, before answering your question we would like you to put your own middle finger to your outlet bottom. THANK U!! now let's begin……...
 
dah hv vyuo kero xaxa nilidis chuo nikapigwa ban nimerud na new id teh teh teh saut bora amazon au dastar mtambo wa picha za x tz
 
No matter which university your are but
what matter
is what you achived has an impact to the society?
so my fellow we should make sure we make changes in our society through education we achived.!
 
ww ni kijana wa kizazi cha mulugo,so mnatuharibia hali ya hewa humu jamvini
Pole sana mkuu na samahani sana sikujua kumbe wewe ni wa hali ya juu,ngoja sisi tubaki na Mlugo wetu.Kila la kheri.
 
mliopo saut c mlifeli form 6? sasa iweje muwe bora wakati tunawafahamu uwezo wenu? au kisa kubebwa na hyo mi GPA ndo mnajiona bora? huwezi kunishawishi kama saut nacho chuo. bora ukae kimya coz mlifeli form 6 sasa mnaleta dharau
 
Nyambafu uliefeli ww, au unafikiri kila aliyeko SAUT ana div 3? After all nani amekwambia wenye div 3 wamefeli? Acha kuishi kwa historia! Nimeshuhudia watu wengi wenye nyodo kama zako o-level wamepata div 1 wakabweteka advance na kuangukia pua! Kwahy nakutaka ustrugle upate matokeo mazur chuo historia yako ya o-level na advanc haikusaidii ktk ufaulu wako chuo! Tukishafanikiwa kuingia versity wote 2naanza upya!! Kazana upate first class sio kubweteka ati una div 1 advanc!
 
Heheee sijui nianzie wapi ila mi nachoamin kwamba uzuri wa mtu sio chuo alichotoka ila nin anacho kichwani nimewaona waliokuja wenye division1 ila kilichotokea ninini wanaongoza kwakufel ..chuo sio necta na mpaka kimeitwa chuo kikuu ujue kinatambulika universely so haina haja yakudharau chuo Alichosoma mwenzio...mi ntabaki kuwa SAUT product tena moto wakuotea mbali coz i know i have something in my mind and i can put into action..mkae mkijua kuwa hizi ni zama za utandawaz ndo mana waweza soma online sasa unataka leta mambo ya ujima hapa soma alama za nyakati kangaroo wewe unajishaua hivo kumbe mwanao au ndugu yako unamshauri aende data star afu hapa waleta nyodo...na jua hivi sio kila mwenye GPA kubwa anajua alichokisoma nakujifunza...
#Kwa hisani ya watu wanaojitambua#
 
If u dont have enemies, it means u lack self esteem. ukiona mkubwa anashndana na mtoto ujue kuna vitu ambavyo mtoto kamzidi mkubwa. xo thze upcoming universities especially SAUT kinaweza kuwa bora kuliko UDSM kwa baadhi ya vitivo kama BAED na MASS COM.
 
Pole sana ndugu! Sauti ije iwe bora zan udsm ktk fan ya mass com, education?? Eb angalia na linganisha product wa mass com wa pale SJMC-UDSM na hao wa huko katan Sauti! Bado saaana! Jipange
 
Heheee sijui nianzie wapi ila mi nachoamin kwamba uzuri wa mtu sio chuo alichotoka ila nin anacho kichwani nimewaona waliokuja wenye division1 ila kilichotokea ninini wanaongoza kwakufel ..chuo sio necta na mpaka kimeitwa chuo kikuu ujue kinatambulika universely
so haina haja yakudharau chuo Alichosoma mwenzio...mi ntabaki kuwa SAUT product tena moto wakuotea mbali coz i know i have something in my mind and i can put into action..mkae mkijua kuwa hizi ni zama za utandawaz ndo mana waweza soma online sasa unataka leta mambo ya ujima hapa soma alama za nyakati kangaroo wewe unajishaua hivo kumbe mwanao au ndugu yako unamshauri aende data star afu hapa waleta nyodo...na jua hivi sio kila mwenye GPA kubwa anajua alichokisoma nakujifunza...
#Kwa hisani ya watu wanaojitambua#

Pole sana na chuo chako hicho cha kata! Najua ulitaman kusoma chuo bora lakn maks zako hazikukuruhusu! Endelea kusota na kata yako, tena pengne utakuwa huko MTwara
 
Metal SAUT nini ------- Wewe? Kwa Taarifa Yako Product Ya SAUT sasa hivi ndiyo inayotamba ktk Soko la Ajira na Wanafunzi Wake Wengi ni Very Competent na kwa Uthibitisho tu Fanya Utafiti wako Mwenyewe. Umeniudhi na Umenikera na Inaonekana Wewe Umetumwa na Watu Fulani kwa Maslahi Fulani na Najua Pengine Utakuwa Umesomea Chuo chetu cha Kimagumashi cha Jijini ambacho Sasa Kimebaki Jina tu. Nakipenda Chuo Kikuu changu cha SAUT na Nipo Tayari Kukitetea Kwa Ubora na Sifa Zake mpaka Pumzi Yangu Ya Mwisho. We Build the City of God! Vyuo bora sasa Tanzania ni Vitatu tu SAUT, MZUMBE na TUMAINI na hili Halina Ubishi. Na Degree Yangu Ya SAUT Huwezi hata Kunisimamisha na Mtu wa Masters wa Chuo chako hicho METAL na Mafanikio Yangu Ya Leo ni Jitihada na Ubora wa SAUT na hapo Nilipo Kikazi Ninatisha ile mbaya na Ninakubalika Kuliko hata Wapuuzi waliotoka Chuo Kikuu Kikongwe cha METAL. Wahadhiri Wangu Wote wa SAUT Mwenyezi Mungu awabariki sana.( 2006 - 2009 ).

Sauti?? Hiv huwa ni chuo et! Hiv wanao hitimu hapo huwa nao wanaongea mbele ya watu kuwa nao wamehitimu chuo kikuu au shule

Bora hata na Tumain
 
mliopo saut c mlifeli form 6? sasa iweje muwe bora wakati tunawafahamu uwezo wenu? au kisa kubebwa na hyo mi GPA ndo mnajiona bora? huwezi kunishawishi kama saut nacho chuo. bora ukae kimya coz mlifeli form 6 sasa mnaleta dharau

rudia research yako. Ukisema saut ni waliofeli form six na udom je? Au teku, au josiah kibira kule au st nan nan kule utawaitaje? Nawaheshimu wasomi wote haijalish wanatoka chuo gan. Kikubwa vyuo vyote vimethibitishwa na vimekidhi vigezo.
 
Pole sana na chuo chako hicho cha kata! Najua ulitaman kusoma chuo bora lakn maks zako hazikukuruhusu! Endelea kusota na kata yako, tena pengne utakuwa huko MTwara

Pole sana utabaki hivo hivo ulivo kama chuo ndo kinaonyesha unajua nin tunajionea hao waliopita hapo mliman ndo wanaotuletea mauza uza ya div5 halafu usijisemeshe tuu hapa ka mpiga ngoma anaetafuta wachezaj kilazima...arguing with fact and not kwa story za vijiweni.. Kama kweli wewe ni msomi regardless umesoma wapi...eti chuo cha kata wafurahisha atii hebu nenda kasugue gaga huko
 
Ugomvi huu,manake nini,kwamba jina majengo au mahali kilipo chuo ndo ubora wa elimu? Au materials zinazotolewa au mwanafunzi anaepokea?
Kwa mtazamo wangu jina la chuo kwa sasa halina mana tena bali nini kinatolewa na anaepokea anauwezo gani wa kukifanyia kazi kwa manufaa yake na manufaaa ya tanzania ya leo?.
Hivi civil procedure inayofundishwa Udsm na tumaini au SAUT ni tofauti au ni ileile tatizo ni maeneo vilipo vyuo?
Kama ni wahadhiri walio wengi ndo walewale sasa iweje mhadhiri anaefundisha Tort UDSM na ndie anafundisha tort Tumaini sasa iweje leo unambie chuo flani ni bora kuliko kingine sema matatizo ni ya wahitimu wenyewe mmojammoja kama ilivyokuwa malaika mungu aliwaumba wote wema wengine baadae wakaasi wakawa mashetani ndo haya tunayoyaona leo hatuwezi kusema waliosoma chuo flani wote waovyo au wote wazuri si kweli.nawsilisha.
 
mkuu asante sana maana watu wanaakili za hadithi za vijiweni..ujumbe umefika asietaka amin baasi mana nachoamin kwa mambo ya Account double entry ni ileile na account harmonisation ni ile ile na IFRS n IAS ni zilezile na vitabu ni vile vile wote mnatumia Frankwood.ABJ na mengi mengi so hakuna kutaambiana hapa tamba na ulichokua nacho kichwani kwakweli..
Naunga mkono hoja
 
Nadhani BOOM lenu litakuwa hewani hivi Punde, Mwaka jana kulikuwa na urasimu ila alie kuwa anashughulikia amehamishiwa kwingine (Jina kapuni). Nacho waomba wana SAUT muwe wavumilivu nadhani mnatambua uwepo wa SAUT hapa Tanzania jinsi inavyo tishia maisha ya vyuo vya serikali, hivyo basi siasa ni kama dawa kwa serikali yetu ili kuwakatisha wanafunzi wa Private Universities. Hakuna cha kuwa zinatumika kuzalisha riba wala nini Trust Me, hamna kitu kama hicho, very soon mtazipata.

Bwana Yesu Asifiwe!!!
 
Back
Top Bottom