Heheee sijui nianzie wapi ila mi nachoamin kwamba uzuri wa mtu sio chuo alichotoka ila nin anacho kichwani nimewaona waliokuja wenye division1 ila kilichotokea ninini wanaongoza kwakufel ..chuo sio necta na mpaka kimeitwa chuo kikuu ujue kinatambulika universely
so haina haja yakudharau chuo Alichosoma mwenzio...mi ntabaki kuwa SAUT product tena moto wakuotea mbali coz i know i have something in my mind and i can put into action..mkae mkijua kuwa hizi ni zama za utandawaz ndo mana waweza soma online sasa unataka leta mambo ya ujima hapa soma alama za nyakati kangaroo wewe unajishaua hivo kumbe mwanao au ndugu yako unamshauri aende data star afu hapa waleta nyodo...na jua hivi sio kila mwenye GPA kubwa anajua alichokisoma nakujifunza...
#Kwa hisani ya watu wanaojitambua#