Malengo Jr
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 287
- 99
Nadhani BOOM lenu litakuwa hewani hivi Punde, Mwaka jana kulikuwa na urasimu ila alie kuwa anashughulikia amehamishiwa kwingine (Jina kapuni). Nacho waomba wana SAUT muwe wavumilivu nadhani mnatambua uwepo wa SAUT hapa Tanzania jinsi inavyo tishia maisha ya vyuo vya serikali, hivyo basi siasa ni kama dawa kwa serikali yetu ili kuwakatisha wanafunzi wa Private Universities. Hakuna cha kuwa zinatumika kuzalisha riba wala nini Trust Me, hamna kitu kama hicho, very soon mtazipata.
Bwana Yesu Asifiwe!!!
Kijana boom 2shapewa 2 weeks ago! Ndo mana wengne wanakwambia wamebakiza 62,000/