chuo chako bora kivipi,UDSM ni chuo bora sana barani Afrika na ulimwenguni pia,hivi chuo chako hata top 200 ya vyuo vikuu barani AFrika hakipo,au unashabikia kwa sababu umechguliwa huko na pia wahadhiri wako wengi ni product ya UD.Saut ni chuo bora kwa sasa kuliko hata lile lichuo kongwe la pale Dar.
with all the due respect sir, before answering your question we would like you to put your own middle finger to your outlet bottom. THANK U!! now let's begin ...hivi SAUT nacho chuo kikuu?
Pole sana mkuu na samahani sana sikujua kumbe wewe ni wa hali ya juu,ngoja sisi tubaki na Mlugo wetu.Kila la kheri.ww ni kijana wa kizazi cha mulugo,so mnatuharibia hali ya hewa humu jamvini
mliopo saut c mlifeli form 6? sasa iweje muwe bora wakati tunawafahamu uwezo wenu? au kisa kubebwa na hyo mi GPA ndo mnajiona bora? huwezi kunishawishi kama saut nacho chuo. bora ukae kimya coz mlifeli form 6 sasa mnaleta dharau
nimebakiza Tshs 62,000 tuu yaan hata siammini
If u dont have enemies, it means u lack self esteem. ukiona mkubwa anashndana na mtoto ujue kuna vitu ambavyo mtoto kamzidi mkubwa. xo thze upcoming universities especially SAUT kinaweza kuwa bora kuliko UDSM kwa baadhi ya vitivo kama BAED na MASS COM.
Heheee sijui nianzie wapi ila mi nachoamin kwamba uzuri wa mtu sio chuo alichotoka ila nin anacho kichwani nimewaona waliokuja wenye division1 ila kilichotokea ninini wanaongoza kwakufel ..chuo sio necta na mpaka kimeitwa chuo kikuu ujue kinatambulika universely
so haina haja yakudharau chuo Alichosoma mwenzio...mi ntabaki kuwa SAUT product tena moto wakuotea mbali coz i know i have something in my mind and i can put into action..mkae mkijua kuwa hizi ni zama za utandawaz ndo mana waweza soma online sasa unataka leta mambo ya ujima hapa soma alama za nyakati kangaroo wewe unajishaua hivo kumbe mwanao au ndugu yako unamshauri aende data star afu hapa waleta nyodo...na jua hivi sio kila mwenye GPA kubwa anajua alichokisoma nakujifunza...
#Kwa hisani ya watu wanaojitambua#
Metal SAUT nini ------- Wewe? Kwa Taarifa Yako Product Ya SAUT sasa hivi ndiyo inayotamba ktk Soko la Ajira na Wanafunzi Wake Wengi ni Very Competent na kwa Uthibitisho tu Fanya Utafiti wako Mwenyewe. Umeniudhi na Umenikera na Inaonekana Wewe Umetumwa na Watu Fulani kwa Maslahi Fulani na Najua Pengine Utakuwa Umesomea Chuo chetu cha Kimagumashi cha Jijini ambacho Sasa Kimebaki Jina tu. Nakipenda Chuo Kikuu changu cha SAUT na Nipo Tayari Kukitetea Kwa Ubora na Sifa Zake mpaka Pumzi Yangu Ya Mwisho. We Build the City of God! Vyuo bora sasa Tanzania ni Vitatu tu SAUT, MZUMBE na TUMAINI na hili Halina Ubishi. Na Degree Yangu Ya SAUT Huwezi hata Kunisimamisha na Mtu wa Masters wa Chuo chako hicho METAL na Mafanikio Yangu Ya Leo ni Jitihada na Ubora wa SAUT na hapo Nilipo Kikazi Ninatisha ile mbaya na Ninakubalika Kuliko hata Wapuuzi waliotoka Chuo Kikuu Kikongwe cha METAL. Wahadhiri Wangu Wote wa SAUT Mwenyezi Mungu awabariki sana.( 2006 - 2009 ).
mliopo saut c mlifeli form 6? sasa iweje muwe bora wakati tunawafahamu uwezo wenu? au kisa kubebwa na hyo mi GPA ndo mnajiona bora? huwezi kunishawishi kama saut nacho chuo. bora ukae kimya coz mlifeli form 6 sasa mnaleta dharau
nimebakiza Tshs 62,000 tuu yaan hata siammini
Pole sana na chuo chako hicho cha kata! Najua ulitaman kusoma chuo bora lakn maks zako hazikukuruhusu! Endelea kusota na kata yako, tena pengne utakuwa huko MTwara
Ugomvi huu,manake nini,kwamba jina majengo au mahali kilipo chuo ndo ubora wa elimu? Au materials zinazotolewa au mwanafunzi anaepokea?
Kwa mtazamo wangu jina la chuo kwa sasa halina mana tena bali nini kinatolewa na anaepokea anauwezo gani wa kukifanyia kazi kwa manufaa yake na manufaaa ya tanzania ya leo?.
Hivi civil procedure inayofundishwa Udsm na tumaini au SAUT ni tofauti au ni ileile tatizo ni maeneo vilipo vyuo?
Kama ni wahadhiri walio wengi ndo walewale sasa iweje mhadhiri anaefundisha Tort UDSM na ndie anafundisha tort Tumaini sasa iweje leo unambie chuo flani ni bora kuliko kingine sema matatizo ni ya wahitimu wenyewe mmojammoja kama ilivyokuwa malaika mungu aliwaumba wote wema wengine baadae wakaasi wakawa mashetani ndo haya tunayoyaona leo hatuwezi kusema waliosoma chuo flani wote waovyo au wote wazuri si kweli.nawsilisha.