KERO Hii ni Dar na hawa ni wananchi wa Ubungo wakichota maji katika chemchem ya mto Gide

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,040
Hii ni 2025 na hili ni jiji namba moja Tanzania ambalo tunajivunia ila wananchi wake bado wanatumia maji ya chemi Chemi, yaani mwaka 2025 bado tupo primitive stage na hapa ni jijini Dar es salaam, sasa mikoa jirani hali ikoje.

_________

Wakazi wa Ubungo Riverside Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa wanachota maji kwenye chemchem iliyopo katika Mto Gide leo Ijumaa Desemba 12, 2025.

Kwa wiki kadhaa sasa maeneo mengi ya Mkoa wa Dar es Salaam yamekuwa yakikabiliwa na uhaba wa maji hatua inayowalazimu kutumia muda mwingi kutafuta huduma hiyo.

1765527201069.png

Desemba 10, 2025 akuzungumza na waandishi habari, Waziri wa Maji, Juma Aweso amesema oparesheni wanazofanya ikiwemo kurudisha Mto Ruvu katika hali yake ya kawaida imeanza kuleta matunda na kipaumbele cha Serikali ni kuwa kiwango cha maji kinachopatikana kigawiwe kwa usawa.
 
Ukilalamika HUPENDI AMANI NA UTULIVU!
 
CCM kazi hawawezi
 
Serikali ianze kujiandaa kwa mlipuko wa Kipindupindu ,lengo letu humu ni kushauri na wala hatupingi ,ukiona tunatoa michango maana yake mingi ni ya kiushauri sema baadhi ya mbogamboga wanaona kama tunakosoa.

Kwa Mfano inaeleweka kabisa kukiwa na uhaba wa maji lazima mlipuko wa magonjwa ya matumbo ikiwemo kuhara na kipindipindu yanaibuka kwa kasi ,kwahiyo serikali isije ikajitoa ufahamu endapo mlipuko ukitokea.
 
Hii ni 2025 na hili ni jiji namba moja Tanzania ambalo tunajivunia ila wananchi wake bado wanatumia maji ya chemi Chemi, yaani mwaka 2025 bado tupo primitive stage na hapa ni jijini Dar es salaam, sasa mikoa jirani hali ikoje.

_________

Wakazi wa Ubungo Riverside Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa wanachota maji kwenye chemchem iliyopo katika Mto Gide leo Ijumaa Desemba 12, 2025.

Kwa wiki kadhaa sasa maeneo mengi ya Mkoa wa Dar es Salaam yamekuwa yakikabiliwa na uhaba wa maji hatua inayowalazimu kutumia muda mwingi kutafuta huduma hiyo.

Desemba 10, 2025 akuzungumza na waandishi habari, Waziri wa Maji, Juma Aweso amesema oparesheni wanazofanya ikiwemo kurudisha Mto Ruvu katika hali yake ya kawaida imeanza kuleta matunda na kipaumbele cha Serikali ni kuwa kiwango cha maji kinachopatikana kigawiwe kwa usawa.
WAKATI HUO KAHABA NA ABDUL WAKE WANACHAMBIA MAJI YA CHUPA KUTOKA UK ...LITA MOJA SH 28000 YA KITANZANIA
 
Back
Top Bottom