Patrice Diounis
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 1,086
- 2,254
Wawateke na hao *****.
gayizi tena bilion 5 wamelipwa kupitia mpesa daaah....
Kwa aina hii ya viongozi ni kweli hata mito ingekuwa inapita kila kata bado SHIDA ya MAJI ingekuwepo.Hata kungekua na ziwa na mito kila wilaya bado kungekua na shida ya maji tuu
Asante sana Mama Samuya kwa chemchem ya mto Gide!Hii ni 2025 na hili ni jiji namba moja Tanzania ambalo tunajivunia ila wananchi wake bado wanatumia maji ya chemi Chemi, yaani mwaka 2025 bado tupo primitive stage na hapa ni jijini Dar es salaam, sasa mikoa jirani hali ikoje.
_________
Wakazi wa Ubungo Riverside Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa wanachota maji kwenye chemchem iliyopo katika Mto Gide leo Ijumaa Desemba 12, 2025.
Kwa wiki kadhaa sasa maeneo mengi ya Mkoa wa Dar es Salaam yamekuwa yakikabiliwa na uhaba wa maji hatua inayowalazimu kutumia muda mwingi kutafuta huduma hiyo.
Desemba 10, 2025 akuzungumza na waandishi habari, Waziri wa Maji, Juma Aweso amesema oparesheni wanazofanya ikiwemo kurudisha Mto Ruvu katika hali yake ya kawaida imeanza kuleta matunda na kipaumbele cha Serikali ni kuwa kiwango cha maji kinachopatikana kigawiwe kwa usawa.
# uchochezi tulia ,Linda amani kijana ,,huhHii ni 2025 na hili ni jiji namba moja Tanzania ambalo tunajivunia ila wananchi wake bado wanatumia maji ya chemi Chemi, yaani mwaka 2025 bado tupo primitive stage na hapa ni jijini Dar es salaam, sasa mikoa jirani hali ikoje.
_________
Wakazi wa Ubungo Riverside Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa wanachota maji kwenye chemchem iliyopo katika Mto Gide leo Ijumaa Desemba 12, 2025.
Kwa wiki kadhaa sasa maeneo mengi ya Mkoa wa Dar es Salaam yamekuwa yakikabiliwa na uhaba wa maji hatua inayowalazimu kutumia muda mwingi kutafuta huduma hiyo.
Desemba 10, 2025 akuzungumza na waandishi habari, Waziri wa Maji, Juma Aweso amesema oparesheni wanazofanya ikiwemo kurudisha Mto Ruvu katika hali yake ya kawaida imeanza kuleta matunda na kipaumbele cha Serikali ni kuwa kiwango cha maji kinachopatikana kigawiwe kwa usawa.
Changamoto lazima kila mahali.
Mjerumani alitawala Tanzania kwa miaka 33 hakumaliza changamoto, mwingereza miaka 42 vipi alimaliza?
Maendeleo ni process, always gradually
Raslimali zipi hizo wakati zaidi ya nusu ya wananchi wanaoishi chini ya mstari wa umaskini huku mafisadi wachache wakishindana kuficha fedha wanazopora nje ya nchi.Hii ni vita ya kiuchumi
Mabeberu wanatuonea wivu
Wanataka rasilimali zetu