tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
😍👍😟😂Aweso anachojua ni kuigiza na kuita wakurugenzi wa idara za maji kwenye futari ili wampe rushwa.
😀😀😀Aweso anachojua ni kuigiza na kuita wakurugenzi wa idara za maji kwenye futari ili wampe rushwa.
😁Hii ni vita ya kiuchumi
Mabeberu wanatuonea wivu
Wanataka rasilimali zetu
Ukilalamika HUPENDI AMANI NA UTULIVU!Hii ni 2025 na hili ni jiji namba moja Tanzania ambalo tunajivunia ila wananchi wake bado wanatumia maji ya chemi Chemi, yaani mwaka 2025 bado tupo primitive stage na hapa ni jijini Dar es salaam, sasa mikoa jirani hali ikoje.
_________
Wakazi wa Ubungo Riverside Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa wanachota maji kwenye chemchem iliyopo katika Mto Gide leo Ijumaa Desemba 12, 2025.
Kwa wiki kadhaa sasa maeneo mengi ya Mkoa wa Dar es Salaam yamekuwa yakikabiliwa na uhaba wa maji hatua inayowalazimu kutumia muda mwingi kutafuta huduma hiyo.
Desemba 10, 2025 akuzungumza na waandishi habari, Waziri wa Maji, Juma Aweso amesema oparesheni wanazofanya ikiwemo kurudisha Mto Ruvu katika hali yake ya kawaida imeanza kuleta matunda na kipaumbele cha Serikali ni kuwa kiwango cha maji kinachopatikana kigawiwe kwa usawa.
CCM kazi hawaweziHii ni 2025 na hili ni jiji namba moja Tanzania ambalo tunajivunia ila wananchi wake bado wanatumia maji ya chemi Chemi, yaani mwaka 2025 bado tupo primitive stage na hapa ni jijini Dar es salaam, sasa mikoa jirani hali ikoje.
_________
Wakazi wa Ubungo Riverside Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa wanachota maji kwenye chemchem iliyopo katika Mto Gide leo Ijumaa Desemba 12, 2025.
Kwa wiki kadhaa sasa maeneo mengi ya Mkoa wa Dar es Salaam yamekuwa yakikabiliwa na uhaba wa maji hatua inayowalazimu kutumia muda mwingi kutafuta huduma hiyo.
Desemba 10, 2025 akuzungumza na waandishi habari, Waziri wa Maji, Juma Aweso amesema oparesheni wanazofanya ikiwemo kurudisha Mto Ruvu katika hali yake ya kawaida imeanza kuleta matunda na kipaumbele cha Serikali ni kuwa kiwango cha maji kinachopatikana kigawiwe kwa usawa.
WAKATI HUO KAHABA NA ABDUL WAKE WANACHAMBIA MAJI YA CHUPA KUTOKA UK ...LITA MOJA SH 28000 YA KITANZANIAHii ni 2025 na hili ni jiji namba moja Tanzania ambalo tunajivunia ila wananchi wake bado wanatumia maji ya chemi Chemi, yaani mwaka 2025 bado tupo primitive stage na hapa ni jijini Dar es salaam, sasa mikoa jirani hali ikoje.