KERO Hii ni Dar na hawa ni wananchi wa Ubungo wakichota maji katika chemchem ya mto Gide

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Tunamshukuru Mama na Serikali ya Ccm kwa utawala bora, madaraka na bunge
 
Mitano tena. Mama apongezwe kwa hilo.
 
For the English Audiences:

Na hapo nchi ni shwari ina amani tele miaka 64 ya Uhuru wake! Vipi tungekuwa na makundi ya waasi mistuni huko Kigoma au Kagera.
 
Hivi tulisha shindwa KABISA kugeuza maji ya bahari kama saudia wanavo Fanya, hata Mwanza pale kwenye maji YASIYO na chumvi ya kuchemsha kuchuja na kupiga dawa tumeshindwa, God bless U.K.A. UNITED KINGDOM OF ALEXANDER
 
In Abundance of Water, A fool is Thirsty - Rat Race
 
Ila hii nchi kuna sehemu ililaaniwa, huyo Juma Aweso anavyosifiwa utasema kuna maajabu ameyafanya hapo wizara ya maji. Sasa hapo ni Dasalaama vipi huko kijijini hali ikoje?? Tunashindwa na ka nchi ka Rwanda pale maji ya bomba safi utasema upo ughaibuni. Miaka 64 ya uhuru shida bado ni maji.?Kweli? Udictator sometimes ni bora zaidi. RIP JPM.
 
Hivi tulisha shindwa KABISA kugeuza maji ya bahari kama saudia wanavo Fanya, hata Mwanza pale kwenye maji YASIYO na chumvi ya kuchemsha kuchuja na kupiga dawa tumeshindwa, God bless U.K.A. UNITED KINGDOM OF ALEXANDER

Hivi tulisha shindwa KABISA kugeuza maji ya bahari kama saudia wanavo Fanya, hata Mwanza pale kwenye maji YASIYO na chumvi ya kuchemsha kuchuja na kupiga dawa tumeshindwa, God bless U.K.A. UNITED KINGDOM OF ALEXANDER
Hamna haja ya maji ya bahari wakati kuna mito na maziwa kibao ya maji ya baridi, akili zetu tu tulilaaniwa hii nchi. Wao kule maji ni shida hawana mito na maziwa ndio maana wakageuza maji ya bahari. Waaafrika hatujuagi kipaumbele chetu tupo tupo tu kama manyani vile kuendesha ma range rover na V8 tunaona tumeendelea huku maji tu na umeme ni shida.
 
Ni kweli mkuu nimegusia bahari liko karibu maana wanadai ziwa Victoria lipo mbali Cha kushangaza hata Mwanza napo yanakatikaga
 
Ni kweli mkuu nimegusia bahari liko karibu maana wanadai ziwa Victoria lipo mbali Cha kushangaza hata Mwanza napo yanakatikaga
Mkuu ni laana tu, hayo mabilioni tunayoyapoteza kwa upuuzi upuuzi yangemaliza hilo tatizo kitambo sana. Hii nchi inahitaji mabadiliko, hayo ma ccm na wazee wao wakina msoga yaondoshwe kije kizazi kingine cha vijana cha kazi,. Hio mizee inaona sawa tu jiji likiwa hivyo wakati yenyewe yanafaidi keki ya taifa.
 
Mbona TEMEKE WATU wanamiliki Visima vizuri na vinatoa MAJI meupe Ila yana chumvi.


Ikiwa MTU binafsi anaweza je Serikali kwanini isiweze Ku-Allocate PESA wakawa na back up WATER


We are not serious anymore
 
Hela ambayo ilitakiwa ije kuchimba visima ,kutengeneza mabwawa ya kuhifadhi maji ya mvua MABEBEBRU wamewalipa kina Mange,Maria,Hilda na Sativa na wao wamewalipa Gen Z wakaandamana.
gayizi tena bilion 5 wamelipwa kupitia mpesa daaah....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…