Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Kama aliweza kukuonyesha Maanake we Ni mshikaji wake, ongea nae kishikaji.... Kwanza Ni Wewe mwenyewe Hakuna cha jamaa wala Nini😂😂😂😂Namuanzaje... Duuh yaani sijui nitamuelezaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama aliweza kukuonyesha Maanake we Ni mshikaji wake, ongea nae kishikaji.... Kwanza Ni Wewe mwenyewe Hakuna cha jamaa wala Nini😂😂😂😂Namuanzaje... Duuh yaani sijui nitamuelezaje.
Umbwa wewe... Kama ni mimi mabo yangu yasingefika huku.Kama aliweza kukuonyesha Maanake we Ni mshikaji wake, ongea nae kishikaji.... Kwanza Ni Wewe mwenyewe Hakuna cha jamaa wala Nini😂😂😂😂
Umbwa wewe... Kama ni mimi mabo yangu yasingefika huku.
Jokes aside
Kanieleza anazitumia mke wake hajui coz itakua soo atauliza uti kaitoa wapi
Wewe sema ulienda kujaribu Kwa Yule aliyekwambia anataka mtoto, usitufanye sisi watoto wadogo mbona maelezo hayafungamani😂😂😂 ( am kidding ).Umbwa wewe... Kama ni mimi mabo yangu yasingefika huku.
Jokes aside
Kanieleza anazitumia mke wake hajui coz itakua soo atauliza uti kaitoa wapi
Basi tu wengine hawapendi Amani😂Hivi, niulize wakuu. Kipi hasa kinamfanya mtu apate msukumo wa kucheki afya? Kuumwaumwa? Kupata mpenzi mpya? Kujiridhisha?
Kipi hasa?
KuumwaumwaHivi, niulize wakuu. Kipi hasa kinamfanya mtu apate msukumo wa kucheki afya? Kuumwaumwa? Kupata mpenzi mpya? Kujiridhisha?
Kipi hasa?
Hilo ndo la msingi 👊👊, Lakini unaweza kupotezea tu.. sometimes kufatilia maisha ya watu sio vizuriI wish asingenionyesha hii dawa. Saa tatu leo nitakua nae ngoja nimchimbe tuone atanipa maelezo gani
aseee nimecheka sana
Achana nae tu kama unaona ukakasi, asije aka over react yakawa mengineKafika right now. Sijui nimuulize au vipi
Hivi, niulize wakuu. Kipi hasa kinamfanya mtu apate msukumo wa kucheki afya? Kuumwaumwa? Kupata mpenzi mpya? Kujiridhisha?
Kipi hasa?
Ndiyo UkweliKupiga sana kazi za nje bila gwanda...
Kama Ni hivyo achana naeI wish ningewarekodia audio toka amefika anaongea na madem tu mbalimbali. Anawapanga. Daah