Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,986
- 2,373
Kuwadanganya watu wasio na akili ni kazi nyepesi kama kumsukuma mlevi.Badala ya washabiki wa Yanga kuuponda udhamini wa JayRutty kwa kuonesha kuwa anaongea visivyowezekana,wangemtaka Injinia atimize ahadi yake ya kujenga uwanja na kukamilisha ndani ya kipindi cha uongozi wake.Vinginevyo inaonesha kuwa washabiki wa Yanga ni wepesi mno kudanganywa na kusahau.
View attachment 3307585
😄😄😄😄😄😄🤣🤣🤣🤣🤣 Hata rais mwenyewe hayumo kati ya hao wawiliUmeshaambiwa wenye akili ni wawili tuu
Badala ya washabiki wa Yanga kuuponda udhamini wa JayRutty kwa kuonesha kuwa anaongea visivyowezekana,wangemtaka Injinia atimize ahadi yake ya kujenga uwanja na kukamilisha ndani ya kipindi cha uongozi wake.Vinginevyo inaonesha kuwa washabiki wa Yanga ni wepesi mno kudanganywa na kusahau.
View attachment 3307585
Umeshaambiwa wenye akili ni wawili tuu
Kuwadanganya watu wasio na akili ni kazi nyepesi kama kumsukuma mlevi.
Unaomba eneo la kujenga uwanja, kumbe hata hela ya kukata miti hauna. Pumbavu kabisa huyo injinia wenu
Mlipewa Kiwanja Kigambon kajengeniUwanja utajengwa kama Engineer Hersi alivyo ahidi, Shida iliyopo ilikua eneo dogo maana utajengwa pale pale Kaunda.
Yanga walimwomba Rais Samia awasaidie eneo kwakua Serikali ilisha walipa wakazi wa eneo lile kupisha mradi wa Daraja la Jangwani na upanuzi wa mto Msimbazi na vivutio vingine.
Mradiuo wa Serikali utahusisha kumbi za starehe, maeneo ya maegesho, upanuzi wa mto Msimbazi utakao kua na mandhali ya kitalii kwaiyo ni mradi mkubwa unao fadhiliwa na Benk ya Dunia.
Kama mtakumbuka vizuri Rais Samia Ali waambia Yanga: mmeniomba jambo lenu ( Eneo la ujenzi) na Mimi Naomba mshughukikie Swala la Feisal mu mwache akacheze.
Kwaiyo Mradi uo wa upanuzi wa mto Msimbazi na Daraja la Jangwani unao fadhiliwa na Benk ya Dunia utakua wa kisasa.
Yanga walitakiwa wapeleke michoro ya uwanja utakao kaa katika eneo ilo kwakua mradi mkubwa wa kisasa hauta ruhusu ujenzi wa uwanja ambao auendani na mradi uo.
Kwa ujumla Yanga walishakua tayari muda mrefu kuanza ujenzi ila ni lazima Serikali ianze ujenzi wa mradi na usanifu wa mradi kwa ujumla uende sambanba na ujenzi wa uwanja uo wa Yanga
kafikia wapi bwana acha kutudanganya? Hana mpango wowote na uwanjaujenzi sio kama nyanya unaenda kununua sokoni, ni mchakato Kwa mchakato uliopofikia sisi kama Wanayanga tupo na Amani, nani asijua nchi rushwa na urasimu ni tatizo kubwa
Kwahiyo project ya serikali ikichukua miaka 20 kujengwa na nyinyi mtakaa bila uwanja mkisubiri miaka 20 na hela tayari ya kujenga mnayo?Uwanja utajengwa kama Engineer Hersi alivyo ahidi, Shida iliyopo ilikua eneo dogo maana utajengwa pale pale Kaunda.
Yanga walimwomba Rais Samia awasaidie eneo kwakua Serikali ilisha walipa wakazi wa eneo lile kupisha mradi wa Daraja la Jangwani na upanuzi wa mto Msimbazi na vivutio vingine.
Mradiuo wa Serikali utahusisha kumbi za starehe, maeneo ya maegesho, upanuzi wa mto Msimbazi utakao kua na mandhali ya kitalii kwaiyo ni mradi mkubwa unao fadhiliwa na Benk ya Dunia.
Kama mtakumbuka vizuri Rais Samia Ali waambia Yanga: mmeniomba jambo lenu ( Eneo la ujenzi) na Mimi Naomba mshughukikie Swala la Feisal mu mwache akacheze.
Kwaiyo Mradi uo wa upanuzi wa mto Msimbazi na Daraja la Jangwani unao fadhiliwa na Benk ya Dunia utakua wa kisasa.
Yanga walitakiwa wapeleke michoro ya uwanja utakao kaa katika eneo ilo kwakua mradi mkubwa wa kisasa hauta ruhusu ujenzi wa uwanja ambao auendani na mradi uo.
Kwa ujumla Yanga walishakua tayari muda mrefu kuanza ujenzi ila ni lazima Serikali ianze ujenzi wa mradi na usanifu wa mradi kwa ujumla uende sambanba na ujenzi wa uwanja uo wa Yanga
Tatizo supu ndio maana aliwaita wala mihogo!Badala ya washabiki wa Yanga kuuponda udhamini wa JayRutty kwa kuonesha kuwa anaongea visivyowezekana,wangemtaka Injinia atimize ahadi yake ya kujenga uwanja na kukamilisha ndani ya kipindi cha uongozi wake.Vinginevyo inaonesha kuwa washabiki wa Yanga ni wepesi mno kudanganywa na kusahau.
View attachment 3307585
Nimefuatilia post zako, wewe ni mmoja wa watu wenye roho mbaya sana. Unakereka sana na mambo ya Yanga. Simba na Yanga zote ni timu za sarakasi tu Ila wewe upo serious mno na hata 100 mbovu hutoi kwa timu. Punguza hasira Pimbi weMo aliposema atahakikisha Simba inakuwa kati ya timu 10 bora. Alichekwa na kutukanwa sana na hawa Utopolo.
Yanga ni alishaacha utani wa jadi, aligeuka kuwa adui
Pimbi bibi yako. Mimi Yanga ikifungwa au kuharibikiwa nasikia raha kuliko ejaculationNimefuatilia post zako, wewe ni mmoja wa watu wenye roho mbaya sana. Unakereka sana na mambo ya Yanga. Simba na Yanga zote ni timu za sarakasi tu Ila wewe upo serious mno na hata 100 mbovu hutoi kwa timu. Punguza hasira Pimbi we