Hii ni Experience yangu niliyoipata kwa Mwanamke Mwembamba

kizazi cha wazinzi kama sodoma na gomora mpk mchomwe moto ka mnabanikwa hv akili zitawakaa sawaa!
Ungekua wewe mwanao ungemchoma moto milele na milele kisa katafuna papuchi tena kwa makubaliano... Embu fikiria nje ya box... Je! Hiyo adhabu ya kuchomwa moto milele na milele inanifaa!?
 
Ukapime na ngoma
 
Ungekua wewe mwanao ungemchoma moto milele na milele kisa katafuna papuchi tena kwa makubaliano... Embu fikiria nje ya box... Je! Hiyo adhabu ya kuchomwa moto milele na milele inanifaa!?
Kwani enzi za sodoma walikua wanafanya kwa nguv c makubaliano mfan walikuja nje ya nyumb ya luthu na kumsih wanaume hao ulio nao ndan watoe nje tufanye nao ngono.Je hawakutaka makubalian kumbuka wanaume hao ndio walikua malaika..
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Pambana na vibonge wako mkuu
 
Khe makubwa haya kwahiyo hiyo kisa umekutana na huyo mmoja basi wamejumuishwa wa dunia nzima wote ndo hivyo,
Alooo kama ni somo la research umeshafeli
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣aki una masihara 🤣🤣🤣🤣🤣, at n anafurahi kukupa ngoma.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ngoja wembamba waje kukupa muongozo.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…