Hii ni extract kutoka kesi aliyoamua Jaji Liganga huyu huyu ambaye anaahirisha kesi kuwa kuna utata, ambapo alikubali msimamo wa Kibatala

Naona Tiganga leo yupo kwenye wakati mgumu kuliko nyakati zote alizowahi kuwa kwenye chamber. Ruling yake ya leo huenda ikamjenga au ikambomoa totally. Maana wanasema the judgement speaks the volume of the judge.
 
Jaji anatakiwa atoe hukumu kufuatana na sheria na ushahidi uliotolewa mahakamani uliojitosheleza na sio vinginevyo!!
 
mali haitakubalika na mahakama kama sehemu ya ushahidi... hiyo bastola haitakuwa sehemu ya ushahidi/ushahidi wake utatupwa kuhusu ile bastola kuwa walikutwa nayo. (maoni yangu, I stand to be corrected)
Retired.. Najalibu kuwaza kama wewe anyway ngoja tusubili majibu, si unajua waswahili wana msemo wao wanasema usiku wa deni haukawii kucha
 
Alienda kwanza kumconsult Jaji Siyani.
 
The issue raised in the objection is wrong citation while the prosecution argue that it is an incomplete citation. is wrong implicitly the same as incomplete?
Having noted that let me touch the basic matter- admission of evidence.

Inadmissible Evidence​

Evidence that can not be presented to the jury or decision maker for any of a variety of reasons:
  1. it was improperly obtained,
  2. it is prejudicial (the prejudicial value outweighs the probative value),
  3. it is hearsay, it is not relevant to the case, etc.
 
Sidhani kama ataweza pindua meza kiasi kwamba apingane na uamzi wake wa shauri LA awali ambalo issue ni kama hii ambayo IPO mbele yake tena.
Hata Mimi namuona akiwa kati ya mtanziko. Roho i radhi lakini mwili ni dhaifu.
 
The issue raised in the objection is wrong citation while the prosecution argue that it is an incomplete citation. is wrong implicitly the same as incomplete?
At least today you have argued as a wise person.
How can it be an incomplete citation with a wrong year of inauguration?
 
@erythrocyte aione Kibatala et al
 
No kama hakuna haki kuna maagizo tupu yanini wasumbuke? bora Mbowe wamfunge roho zao zitakate
Nadhani wangejitoa awali kama ilivyo shauriwa na kina Lema hata haya ya leo tusinge yajua.

Maoni yangu ni kuwa waendelee kuexpose faults za mahakama kama kutakuwa na haja ya kujitoa wafanye hivyo huko mbeleni wakati hata sisi tusio wajuzi wa sheria tumeona haki isivyo tendeka.
 
At least today you have argued as a wise person.
How can it be an incomplete citation with a wrong year of inauguration?
I think you are over zooming making it impossible to see important small issue.
The intention of the defense part is to block the admission of the evidence before the court. In their objection and the cases cited- the admissibility of the evidence is side stepped and this is fatal. The prosecution have said it. and the rule are clear

Inadmissible Evidence​

Evidence that can not be presented to the jury or decision maker for any of a variety of reasons:
it was improperly obtained,
it is prejudicial (the prejudicial value outweighs the probative value),
it is hearsay,
it is not relevant to the case, etc.
 
Retired.. Najalibu kuwaza kama wewe anyway ngoja tusubili majibu, si unajua waswahili wana msemo wao wanasema usiku wa deni haukawii kucha
Ngoja tuone, lkn wasivyo na aibu, ngoja tusubiri
 
This is straightforward, kuna doctrine ya "right treatment". Umeshitakiwa kwa kuua, na umeua kweli, ni sheria inayokataza ni section 27, lakini prosecutor anakosea anasema anakushitaki kwa Section 17. Hii huitwa techn8cality, tundu la sindano, itamnyima haki maiti.

Kama hakuua hakuua ataachiwa, lakini kwa evidence, si kwa techn8cality. Soma mada hii hapa iko kwenye jarida la Chicago Law School 2002: "MUST LIKE CASES BE TREATED ALIKE?", by David A. Strauss

Bila hivyo kesi zote watashinda magaidi kwa kukosea Section tu. Watauza kes.i
 
You have a point!
 
Wrong citation which included incomplete citation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…