Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ikitokea hivyo mawakili wa Mbowe wajitoeya kabudi, Polepole ni tofauti, this is guided by law. Lakini kama ulivyosema anaweza kabisa akapindisha walivyo manyang'au.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikitokea hivyo mawakili wa Mbowe wajitoeya kabudi, Polepole ni tofauti, this is guided by law. Lakini kama ulivyosema anaweza kabisa akapindisha walivyo manyang'au.
Mpaka sasa bastola siyo big deal kwenye kesi hii kama Jaji ana nia ya kutenda haki. Huwezi Fanya Ugaidi wa kuua watu wengi kwa kutumia risasi 3 tu. Ili Ugaidi upate tafsiri halisi lazima kuwe na mambo matatu yametendeka au yanaelekea kutendeka;mali haitakubalika na mahakama kama sehemu ya ushahidi... hiyo bastola haitakuwa sehemu ya ushahidi/ushahidi wake utatupwa kuhusu ile bastola kuwa walikutwa nayo. (maoni yangu, I stand to be corrected)
Yes nami nilikuwa mawaza hivyo.Au Jaji akataliweIkitokea hivyo mawakili wa Mbowe wajitoe
Wanaweza kuchukulia mfano kwa hamza, alikua na silaha ndogo akitumia kupata silaha kubwa akafanyia ugaidi.Mpaka sasa bastola siyo big deal kwenye kesi hii kama Jaji ana nia ya kutenda haki. Huwezi Fanya Ugaidi wa kuua watu wengi kwa kutumia risasi 3 tu. Ili Ugaidi upate tafsiri halisi lazima kuwe na mambo matatu yametendeka au yanaelekea kutendeka;
1.Vitisho
2.Matishio
3.Mauaji ya watu wengi.
Katika ushahidi uliotolewa mpaka sasa wapi umeona hao wanaoitwa magaidi walitoa vitisho? Maana maswali ya msingi yanapoulizwa na Mawakili wa Utetezi kama mhanga (Sabaya) alijua yuko hatarini wanasema alikuwa hajui.
Katika ushahidi uliotolewa mpaka sasa zaidi ya story za ulipuaji visima vya mafuta na ukataji miti barabarani hakuna mahali panaonesha kuna watu walitishika na vitendo vya watuhumiwa (matishio).
Katika ushahidi uliotolewa mpaka sasa kitendea kazi pekee kilichoonekana kingeweza kutekeleza mauaji ya watu wengi ni pistol na risasi 3 huku waliopangwa kuuawa wakiwa viongozi wa serikali ambao wengi wanalindwa tena kwa silaha nzito.
NB: Kuwa Jaji ni kuchukua nafasi mojawapo kati ya kazi za Mungu yaani kuhukumu. Na ili umwakilishe Mungu vizuri lazima utoe hukumu ya haki. CJ TIGANGA atasimama na Mungu au atasimama na Wanadamu? Tusubiri tuone.
asante sana kwa ufafanuzi. Nimeelimika na ingredients za ugaidi. Ngoja tuone.Mpaka sasa bastola siyo big deal kwenye kesi hii kama Jaji ana nia ya kutenda haki. Huwezi Fanya Ugaidi wa kuua watu wengi kwa kutumia risasi 3 tu. Ili Ugaidi upate tafsiri halisi lazima kuwe na mambo matatu yametendeka au yanaelekea kutendeka;
1.Vitisho
2.Matishio
3.Mauaji ya watu wengi.
Katika ushahidi uliotolewa mpaka sasa wapi umeona hao wanaoitwa magaidi walitoa vitisho? Maana maswali ya msingi yanapoulizwa na Mawakili wa Utetezi kama mhanga (Sabaya) alijua yuko hatarini wanasema alikuwa hajui.
Katika ushahidi uliotolewa mpaka sasa zaidi ya story za ulipuaji visima vya mafuta na ukataji miti barabarani hakuna mahali panaonesha kuna watu walitishika na vitendo vya watuhumiwa (matishio).
Katika ushahidi uliotolewa mpaka sasa kitendea kazi pekee kilichoonekana kingeweza kutekeleza mauaji ya watu wengi ni pistol na risasi 3 huku waliopangwa kuuawa wakiwa viongozi wa serikali ambao wengi wanalindwa tena kwa silaha nzito.
NB: Kuwa Jaji ni kuchukua nafasi mojawapo kati ya kazi za Mungu yaani kuhukumu. Na ili umwakilishe Mungu vizuri lazima utoe hukumu ya haki. CJ TIGANGA atasimama na Mungu au atasimama na Wanadamu? Tusubiri tuone.
Mashukuru Mkuu, na hiyo ni tafsiri worldwide. Nawasubiri waendesha mashtaka wa serikali maana wao hutunga tafsiri zao kwa manufaa binafsi.asante sana kwa ufafanuzi. Nimeelimika na ingredients za ugaidi. Ngoja tuone.
Kukataliwa siyo issue wajitoe kabisa maana hakuna sheria kama hiyo huu ni uonevuYes nami nilikuwa mawaza hivyo.Au Jaji akataliwe
Solution hapo akipindisha tena leo, mawakili wa Mbowe wajitoe na Mbowe akae kimya wamfunge hakuna kesi hapo zaidi ya uonevu wa kipumbafu na maagizo ya kijinga.Mpaka sasa bastola siyo big deal kwenye kesi hii kama Jaji ana nia ya kutenda haki. Huwezi Fanya Ugaidi wa kuua watu wengi kwa kutumia risasi 3 tu. Ili Ugaidi upate tafsiri halisi lazima kuwe na mambo matatu yametendeka au yanaelekea kutendeka;
1.Vitisho
2.Matishio
3.Mauaji ya watu wengi.
Katika ushahidi uliotolewa mpaka sasa wapi umeona hao wanaoitwa magaidi walitoa vitisho? Maana maswali ya msingi yanapoulizwa na Mawakili wa Utetezi kama mhanga (Sabaya) alijua yuko hatarini wanasema alikuwa hajui.
Katika ushahidi uliotolewa mpaka sasa zaidi ya story za ulipuaji visima vya mafuta na ukataji miti barabarani hakuna mahali panaonesha kuna watu walitishika na vitendo vya watuhumiwa (matishio).
Katika ushahidi uliotolewa mpaka sasa kitendea kazi pekee kilichoonekana kingeweza kutekeleza mauaji ya watu wengi ni pistol na risasi 3 huku waliopangwa kuuawa wakiwa viongozi wa serikali ambao wengi wanalindwa tena kwa silaha nzito.
NB: Kuwa Jaji ni kuchukua nafasi mojawapo kati ya kazi za Mungu yaani kuhukumu. Na ili umwakilishe Mungu vizuri lazima utoe hukumu ya haki. CJ TIGANGA atasimama na Mungu au atasimama na Wanadamu? Tusubiri tuone.
Bora mawakili wa Mbowe wajitoe haraka hakuna kesi hapa zaidi ya ujinga na maagizoHakimu anajitahidi kuwabeba maana kashaona jasho linawatoka ila huyo hakima nae anapokea maagizo kutoka juu kwa siyani
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani Wakuu, ninaomba kuuliza, endapo hiyo hati ya kukamatia mali haitapokelewa Mahakamani, itaathiri vipi mwenendo wa kesi?
Kukataliwa siyo issue wajitoe kabisa maana hakuna sheria kama hiyo huu ni uonevu
No kama hakuna haki kuna maagizo tupu yanini wasumbuke? bora Mbowe wamfunge roho zao zitakateKujitoa mkuu HAPANA tunapaswa kuendelea Kuona kipi kitajiri kipya zaidi
Sidhani kama ataweza pindua meza kiasi kwamba apingane na uamzi wake wa shauri LA awali ambalo issue ni kama hii ambayo IPO mbele yake tena.Tatizo sio mawakili wa serikali, tatizo ni jaji wa CCM
Kama unajua utafungwa kuna haja gani ya kupoteza muda? acha wamfunge maana ndiyo maagizo yaoAcheni ujinga nyie kujitoa ndio kitu gani, hakuna kujitoa wala nn ngoma iende mpaka mwisho
Hata Mandela alijua atafungwa na mkaburu lkn hakuondoa mawakili wake.
Huu sio muda wa siasa lainilaini
Waashajua ila wanamkomoa tuuBora mawakili wa Mbowe wajitoe haraka hakuna kesi hapa zaidi ya ujinga na maagizo
Atapindisha atasema maoni yakeSidhani kama ataweza pindua meza kiasi kwamba apingane na uamzi wake wa shauri LA awali ambalo issue ni kama hii ambayo IPO mbele yake tena.
hakuna sababu ya kupoteza muda