Hii ni extract kutoka kesi aliyoamua Jaji Liganga huyu huyu ambaye anaahirisha kesi kuwa kuna utata, ambapo alikubali msimamo wa Kibatala

mali haitakubalika na mahakama kama sehemu ya ushahidi... hiyo bastola haitakuwa sehemu ya ushahidi/ushahidi wake utatupwa kuhusu ile bastola kuwa walikutwa nayo. (maoni yangu, I stand to be corrected)
Mpaka sasa bastola siyo big deal kwenye kesi hii kama Jaji ana nia ya kutenda haki. Huwezi Fanya Ugaidi wa kuua watu wengi kwa kutumia risasi 3 tu. Ili Ugaidi upate tafsiri halisi lazima kuwe na mambo matatu yametendeka au yanaelekea kutendeka;
1.Vitisho
2.Matishio
3.Mauaji ya watu wengi.

Katika ushahidi uliotolewa mpaka sasa wapi umeona hao wanaoitwa magaidi walitoa vitisho? Maana maswali ya msingi yanapoulizwa na Mawakili wa Utetezi kama mhanga (Sabaya) alijua yuko hatarini wanasema alikuwa hajui.

Katika ushahidi uliotolewa mpaka sasa zaidi ya story za ulipuaji visima vya mafuta na ukataji miti barabarani hakuna mahali panaonesha kuna watu walitishika na vitendo vya watuhumiwa (matishio).

Katika ushahidi uliotolewa mpaka sasa kitendea kazi pekee kilichoonekana kingeweza kutekeleza mauaji ya watu wengi ni pistol na risasi 3 huku waliopangwa kuuawa wakiwa viongozi wa serikali ambao wengi wanalindwa tena kwa silaha nzito.

NB: Kuwa Jaji ni kuchukua nafasi mojawapo kati ya kazi za Mungu yaani kuhukumu. Na ili umwakilishe Mungu vizuri lazima utoe hukumu ya haki. CJ TIGANGA atasimama na Mungu au atasimama na Wanadamu? Tusubiri tuone.
 
Wanaweza kuchukulia mfano kwa hamza, alikua na silaha ndogo akitumia kupata silaha kubwa akafanyia ugaidi.
 
asante sana kwa ufafanuzi. Nimeelimika na ingredients za ugaidi. Ngoja tuone.
 
Solution hapo akipindisha tena leo, mawakili wa Mbowe wajitoe na Mbowe akae kimya wamfunge hakuna kesi hapo zaidi ya uonevu wa kipumbafu na maagizo ya kijinga.
 
Endapo itapokolewa ikiwa na nukuu za kimakosa za sheria kuna haja ya kunukuu vifungu vya sheria katika kuandaa nyaraka
Samahani Wakuu, ninaomba kuuliza, endapo hiyo hati ya kukamatia mali haitapokelewa Mahakamani, itaathiri vipi mwenendo wa kesi?
 
Back
Top Bottom