Hii ni extract kutoka kesi aliyoamua Jaji Liganga huyu huyu ambaye anaahirisha kesi kuwa kuna utata, ambapo alikubali msimamo wa Kibatala

LakininLGF Sheria iko hivyo haijatoa exception kwenye ugaidi!
 
Wrong citation which included incomplete citation
All parties seem to agree that the law exists but it was not amended in 2018- is this fatal to the extent of compromising either part's right in the long run?
 
What next now maana huyu mpuuzi. Hukumu anayo mfukoni, acha kupoteza.
muda fuata ushauri wa Lema
Kama unapendekeza wasusie kesi kama Yanga wanavyokimbia mechi na Simba
 
all parties seem to agree that the law exists but it was not amended in 2018- is this fatal to the extent of compromising either part's right in the wrong run?
In our jurisdiction this is fatal, Kenya and Uganda is not.
 
Mashukuru Mkuu, na hiyo ni tafsiri worldwide. Nawasubiri waendesha mashtaka wa serikali maana wao hutunga tafsiri zao kwa manufaa binafsi.
sivyo sheria ya ugaidi inavyosema- kama unataka juwa wa msaada mkuwa mkweli na muwazi bila kuficha kitu ili upate
 
Maagizo ni Mbowe afungwe maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…