Hiyo blueband iliibwa Tanzania tanbond.Sitaki kupoteza muda.
1. Blueband
2. Pipi kali (tropical mint)...
Umemaliza mjadala.Bidhaa zote hizo ni magonjwa tupu na addictions tu. Hakuna bidhaa hapo
Hakuna bidhaa hapo muhimu kwa maisha yetu ya kila siku. Tunaweza kaa bila hizo bidhaa kwa muda na tukiwaambia Wachina wanaleta instantly!Sitaki kupoteza muda.
1. Blueband
2. Pipi kali (tropical mint)
Nikiendaga dukan nasema nipe big g og au pipi kifua za kenya, lol poor usSitaki kupoteza muda.
1. Blueband
2. Pipi kali (tropical mint)
Sisi sio weviBasi wana akili sana kuliko sisi,sisi tumeiba nini toka kwao?
Bidhaa ya Unilever hiyo brand kubwa ya misosi dunianiHiyo blueband iliibwa Tanzania tanbond....
Kwahiyo tukosane na kila mtu Kwasababu juha mojaHakuna bidhaa hapo muhimu kwa maisha yetu ya kila siku. Tunaweza kaa bila hizo bidhaa kwa muda na tukiwaambia wachina wanaleta instantly!
Ndiyo si wewe ni juha!Kwahiyo tukosane na kila mtu Kwasababu juha moja
Una maanisha Kenyata ni juha kwa sababu kapiga ban mahindi toka tz?Kwahiyo tukosane na kila mtu Kwasababu juha moja
Mimi naona hakuna haja ya kuwanyoosha hao nyang'au wote. Tumnyooshe hiyo mlevi peke yake kwa kuzuia maziwa, insurance na ile bank ipate figisu..ile supermarket nadhani tayari imekwisha..na kunogesha tunapiga pin kwa wanae mlamba miguu..fungia na products za malkia chini ya mgongo wa wakunya Uniliver..ili wamfurushe huyo mlevi mjengoni haraka sana.Una maanisha Kenyata ni juha kwa sababu kapiga ban mahindi toka tz?
... vyovyote hoja ni kwamba inavuka mpaka kuingia Tanzania kutokea wapi? Kwanini hao Unilever (mabeberu) hawakuja ku-invest Tz? Kuvuta mitaji ya kigeni inahitaji akili nyingi sio kujitoa ufahamu halafu waje tu! Tz inaihitaji zaidi dunia kuliko dunia inavyoihitaji Tz.Bidhaa ya Unilever hiyo brand kubwa ya misosi duniani