Hii ni idadi ndogo ya bidhaa toka Kenya na Tanzania hatuwezi kutengeneza

Hii ni idadi ndogo ya bidhaa toka Kenya na Tanzania hatuwezi kutengeneza

Zamani hizo pipi kali na big G zilikuwa zinatengenezwa hapa Tz. Nadhani chini ya marehemu Mengi alichukua franchise Uniliver. Sijui kilitokea nini uniliver Mikocheni ikafa...imebaki huko Irings kwenye Chai nadhani.
Sure...
 
Viwanda vya Kenya ni kwa hisani ya mkoloni,ukinywa Milo kutoka kenya inayouzwa Tanzania na inayouzwa EU tunayouziwa bado ovyo. Ukija kwenye mngaro wa viatu na siagi kiwi na blueband ya kenya itabaki juu milele.Tanbondi yetu itasubiri sana. TZ KONYAGI Iitabaki juu milele.
 
Kiwi hazitoki China, Kiwi zinatengenezwa Kenya.

Kangaroo ni aina ya dawa ya viatu kutoka China.

Screenshot_20210307-212456_Google.jpg
Kiwi

Screenshot_20210307-212601_Google.jpg
Kangaroo
 
Kama kawaida, comments nyingi ni za kujitetea kujifanya kama hatuzinunuagi hizo bidhaa.

Ukweli ni kwamba zinatoka Kenya na zinafika Tanzania na tunanunua na sisi hatuna hivyo viwanda kuzalishia.

Sisi ngoja tuendelee kuongea na kuziponda kuwa ni sumu wakati wenzetu wanapiga hela.

Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
 
Kwa nyongeza bidhaa za bakery asilimia 90 zinatoka Kenya. Kenya walirahisisha sana upatikanaji wake Tanzania tena kwa bei nzuri. Bidhaa kama baking powder (chapa mandashi etc), icing sugar, cake and bread improvers, amira, prestiges, baking agents na addictives ni kutoka Kenya.
 
Viwanda vya Kenya ni kwa hisani ya mkoloni,ukinywa Milo kutoka kenya inayouzwa Tanzania na inayouzwa EU tunayouziwa bado ovyo.Ukija kwenye mngaro wa viatu na siagi kiwi na blueband ya kenya itabaki juu milele.Tanbondi yetu itasubiri sana.
Mkuu unachoongea ndicho nachojua. Chukua bidhaa ya Kenya yoyote linganisha na ya hapa hatuwapati milele. Mf. Jamaa, na pipi kali au big jii tz tunavyo lakini sio kama za Kenya.
 
Kwa nyongeza bidhaa za bakery asilimia 90 zinatoka Kenya...Kenya walirahisisha sana upatikanaji wake Tanzania tena kwa bei nzuri...bidhaa kama baking powder ( chapa mandashi etc), icing sugar, cake and bread improvers, amira, prestiges, baking agents na addictives ni kutoka Kenya....
Kweli kabisa,afu eti ikitengenezwa TZ bei inakuwa juu ila ikitoka Kenya inakua chini hii imekaaje?
 
... vyovyote hoja ni kwamba inavuka mpaka kuingia Tanzania kutokea wapi? Kwanini hao Unilever (mabeberu) hawakuja ku-invest Tz? Kuvuta mitaji ya kigeni inahitaji akili nyingi sio kujitoa ufahamu halafu waje tu! Tz inaihitaji zaidi dunia kuliko dunia inavyoihitaji Tz.
Hujaelewa nlichosema... Mimi nilimaanisha asiichukulie poa ni brand kubwa
 
Tanzania tuko vizuri kwa vilevi,fahari ya Tanzania. Hakuna nchi itatukuta Africa mashariki kwa bia,spirit,wine nk,na tunakusanya kodi kubwa eneo hili. Hizo nafaka tupeleke viwanda vya pombe
 
Mkuu unachoongea ndicho nachojua...chukua bidhaa ya Kenya yoyote linganisha na ya hapa hatuwapati milele. Mf. Jamaa,na pipi kali au big jii tz tunavyo lakini sio kama za Kenya
Juzi ndio niligundua kuwa sabuni ya mche ya jamaa ya Kenya na ya hapa Tanzania ni tofauti kabisa, ya Kenya ni Grade 1 na ndio zile mwanzoni zilikuwa zinakuja huku, ya sasa hapa Bongo ni hovyo na inaisha mapema
 
Back
Top Bottom