Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Sure...Zamani hizo pipi kali na big G zilikuwa zinatengenezwa hapa Tz. Nadhani chini ya marehemu Mengi alichukua franchise Uniliver. Sijui kilitokea nini uniliver Mikocheni ikafa...imebaki huko Irings kwenye Chai nadhani.
Ndio mkuuUmeona hizo tu
Ilishauzwa iko Upfield sasaBidhaa ya Unilever hiyo brand kubwa ya misosi duniani
Mkuu unachoongea ndicho nachojua. Chukua bidhaa ya Kenya yoyote linganisha na ya hapa hatuwapati milele. Mf. Jamaa, na pipi kali au big jii tz tunavyo lakini sio kama za Kenya.Viwanda vya Kenya ni kwa hisani ya mkoloni,ukinywa Milo kutoka kenya inayouzwa Tanzania na inayouzwa EU tunayouziwa bado ovyo.Ukija kwenye mngaro wa viatu na siagi kiwi na blueband ya kenya itabaki juu milele.Tanbondi yetu itasubiri sana.
Hiyo blueband iliibwa Tanzania tanbond....
Kweli kabisa,afu eti ikitengenezwa TZ bei inakuwa juu ila ikitoka Kenya inakua chini hii imekaaje?Kwa nyongeza bidhaa za bakery asilimia 90 zinatoka Kenya...Kenya walirahisisha sana upatikanaji wake Tanzania tena kwa bei nzuri...bidhaa kama baking powder ( chapa mandashi etc), icing sugar, cake and bread improvers, amira, prestiges, baking agents na addictives ni kutoka Kenya....
Hujaelewa nlichosema... Mimi nilimaanisha asiichukulie poa ni brand kubwa... vyovyote hoja ni kwamba inavuka mpaka kuingia Tanzania kutokea wapi? Kwanini hao Unilever (mabeberu) hawakuja ku-invest Tz? Kuvuta mitaji ya kigeni inahitaji akili nyingi sio kujitoa ufahamu halafu waje tu! Tz inaihitaji zaidi dunia kuliko dunia inavyoihitaji Tz.
Juzi ndio niligundua kuwa sabuni ya mche ya jamaa ya Kenya na ya hapa Tanzania ni tofauti kabisa, ya Kenya ni Grade 1 na ndio zile mwanzoni zilikuwa zinakuja huku, ya sasa hapa Bongo ni hovyo na inaisha mapemaMkuu unachoongea ndicho nachojua...chukua bidhaa ya Kenya yoyote linganisha na ya hapa hatuwapati milele. Mf. Jamaa,na pipi kali au big jii tz tunavyo lakini sio kama za Kenya
Asante umemjibu vema.Bidhaa zote hizo ni magonjwa tupu na addictions tu. Hakuna bidhaa hapo
Haswaaa!!!!.Hakuna bidhaa hapo muhimu kwa maisha yetu ya kila siku. Tunaweza kaa bila hizo bidhaa kwa muda na tukiwaambia wachina wanaleta instantly!
Sitaki kupoteza muda.
1. Blueband
2. Pipi kali (tropical mint)...