SACO JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 2,623 Reaction score 3,397 Dec 11, 2022 #1 Yaani lita moja kwenye rough road inatembea km 5 tu, je hii ni kawaida? Pia ina tatizo la kuchelewa kubadili gia, natamani kuwapatia mafundi waicheck gear box ila wasiwasi wangu wasije wakaiua kabisa
Yaani lita moja kwenye rough road inatembea km 5 tu, je hii ni kawaida? Pia ina tatizo la kuchelewa kubadili gia, natamani kuwapatia mafundi waicheck gear box ila wasiwasi wangu wasije wakaiua kabisa
Scrum Master JF-Expert Member Joined Apr 28, 2021 Posts 243 Reaction score 424 Dec 11, 2022 #2 Duh haiwezi kuwa kawaida hiyo lazima kuna issue
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Dec 11, 2022 #3 Ilakula kama gari ya cc 4000. Kacheki system za mafuta na hewa.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 11, 2022 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...