Hii ni kiboko ya wadudu wote wasumbufu sumbufu

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Hii dawa ni nouma sana inzi, mende, kunguni , mbuu na n.k ukipulizia ndani hutoona mdudu yeyote akikatiza.
Lkn pia nyoka hatoboi kwenye hii dawa hawezi kuingia ndani akisikia hii dawa akijaribu kuingia kwa kuforce akigusa tu anakwenda na maji
Inaitwa canye 😁😁😁
 
Inaweza kuizidi Rungu yetu ya Kibongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…