Hii ni kiboko ya wadudu wote wasumbufu sumbufu

Hii ni kiboko ya wadudu wote wasumbufu sumbufu

Ila wanawake bn😁 aya niko UK ama uingereza
Nimesema kwa wema mkuu since umesema ni adimu kupatikana tujue mwenzetu ulipata wapi.....ungesema tuu may be Nono supermaket Mwanza au viva mikocheni basi ndio location niliyomaanisha ....sijamaanisha mengine
 
Inaweza kuizidi Rungu yetu ya Kibongo?
Rungu ya kibongo ni nzuri pia mi nilijua paka MLA mboga.
Nilipogundua kaingia ndani nikafunga mlango na madirisha Kisha nikafungua upenyo kidogo aalipokuwa nikapulizia kama nusu chupa Hivi then nikafunga baada ya dk20 nikafungua kwisha habar yake kakauka nikajua kazimia tu atazinduka Hadi kesho yake nikamkuta pale pale.
Shida ya rungu kwenye kunguni haitoboi
 
Unamaanisha Gecko mbona naaminishwa ni rafiki na kazi yao ni kula mbu na inzi ndani
Kweli wanakula sana mbu na nzi lakini pia nao wanachafua sana ukuta na poop zao.
Kingine jamani wadudu wanatia kinyaa kuwaangalia akikatiza kama nakula na hamu inaisha hapo hapo.
 
Kuna wale jamaa wanapiga kelele usiku kucha.wanakera sana.
Mchana kimyaa
 
Back
Top Bottom