Hii ni kuchanganyikiwa au kunogewa kwenye mapenzi?

mshangazi uchanganyikiwe na ford tena πŸ˜‚,,, huo sio mshangazi ni myatima
 
Mkubwa kuwa makini ... usiache familia kwa mpango wa kando.. na hakikisha unamuweka wazi atambue mwisho wa siku itabidi awe na maisha yake na wewe sikuzote utarudi kujenga nyumbani yako.


ila all in all kwa umri nilionao moja ya kitu nilicho jifunza ni kwamba jijenge kiuchumi ata umkojoze ubongo mapenzi huisha hivyo tembea na choki.. atakuja alie bora zaidi hivyo endelea kujiimarisha kiuchumi na kupapalia mapenz yako
 
Eeeeeh eeeeh eeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…