Hii ni kuchanganyikiwa au kunogewa kwenye mapenzi?

Hii ni kuchanganyikiwa au kunogewa kwenye mapenzi?

BINAMU ukoo haujaaibika, we shughuli ya ukoo wetu unatujua, hatunaga kazi mbovu, ila hatujui kujitamba.

Tunachangamsha baraza BINAMU
Nilitaka kushangaaโ€ฆmaana sisi wa mapenzi yalipozaliwa tunakuwaje tako 3??
 
Mchepuko umepagawa na dudu ya yuyu ya Equation x๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hahahaaa ni bala... Ingependeza pia kama angeshare na Yale anayodhani yamesababisha wifi adate.. ili na wengine wang'ang'aniwe kama yeye. Jf nzima inuke makopa kopa jmn..๐Ÿค๐Ÿคญ
 
Back
Top Bottom