Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Kumbu kumbu nzr sana hii, namkumbuka Ramadhani Lenny akija home ( mtoni Kwa azizi Ali, uwanja wa sifa) kucheza ndondo akitokea mbagala kabla ya kuingia Simba.
.
Hakika alikuwa moto sana na miguu yake kama imechomekwa ivi😃😃 hakika tulipata burudani.
Zamoyo mogella, pia huyu nae alikuwa kiboko, alipojiunga na simba akitokea Moro nadhani, ikicheza Simba na Yanga.
Mogella lazima akabwe na watu zaidi ya mmoja wakiongozwa na Athuman Juma Chama, lakini Bado alipopata upenyo aliwatoboa akina Khamis Kinye😃😃
Wakati ule nilikuwa Bado kijana mdogo,nacheza mpira wa miguu pia, niliwafuatilia sana wachezaji kuwajua.
.
Nilitamani nicheze kama Nicodemus Njohole, Ally Katolila na Boniface Mkwasa, ( sikuweza)