Hii ni kutaka kuficha aibu: Marekani ilishapeleka ulinzi wa anga Ukraine lakini Ukraine inapigwa kila leo na Urusi

Hii ni kutaka kuficha aibu: Marekani ilishapeleka ulinzi wa anga Ukraine lakini Ukraine inapigwa kila leo na Urusi

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Baada ya Ukraine kuchakazwa na makombora na drones za urusi, Marekani inajinasibu kuwa itapeleka huko ulinzi wa anga /air defenses wa kiwango cha juu ili kulinda anga la ukraine dhidi ya mashambulizi ya Urusi.

=======

US air defense systems to arrive in Ukraine soon – Pentagon​

Amid an onslaught of Russian drones and missiles, Kiev has been asking Washington for NASAMS for weeks

The US will send an initial two NASAMS air defense systems to Ukraine “in the very near future,” a Pentagon official said on Monday. With Russia targeting Ukrainian power infrastructure using missiles and drones, Kiev has lobbied the West for better air defense weaponry.

=========

Taarifa hii imelenga kudanganya kuwa ukraine imepigwa kwa sababu haina air defenses nzuri za marekani zinazoitwa NASAM (National Advanced Surface to Air Missile System). Kwa hiyo imelenga kuonyesha kuwa itakapopelekwa hiyo NASAM missiles na drones za urusi zitakuwa zinatunguliwa sana!! Marekani wameamua kudanganya hivyo kwa sababu wanaamini kuwa watu ni wasahaulifu sana na hawawezi kukumbuka kuwa hizo NASAM tayari zilishapelekwa Ukraine muda mrefu na hazikufua dafu!! Missiles na drones za urusi zinajipigia tu kama zinavyotaka!! Ushahidi wa aliyepigwa huwa ni nundu usoni!! Hali ni mbaya ukraine! Ushahidi kuwa tayari NASAM za marekani ziko nchini ukraine tarehe 26/09/2022 huu hapa:

Ukraine receives advanced US air defense system​

NASAMS-battery.jpg
Ukraine has reportedly received two batteries of NASAMS short- to medium-range ground-based air defense systems from the US. [Twitter]

President Volodymyr Zelenskyy said in an interview broadcast on Sunday (25 September) that Ukraine had received sophisticated air defence systems from the United States.

It was the first acknowledgment that Ukraine had received the National Advanced Surface-to-Air Missile System (NASAMS), long sought by Kyiv and whose shipment was approved by Washington late last month.

“We absolutely need the United States to show leadership and give Ukraine the air defence systems. I want to thank President (Joe) Biden for a positive decision that has been already made,” Zelenskyy said, according to an English-language transcript of the interview.

=========

Ukweli ni kwamba silaha za MAREKANI na NATO kwa Ujumla zimeshindwa kabisa kumng'oa Urusi toka ukraine au kumlinda Ukraine dhidi ya mashambulizi ya Urusi!! Mbumbumbu watakuja hapa na kutamba, Marekani anapeleka ulinzi wa anga Ukraine, Missiles na drones za Urusi zitapukutishwa!! Kumbe zilishapelekwa zaidi ya mwezi mzima uliopita na hazikufua dafu!
 
Kuna video Moja inaonesha kamikaze drone ikikoswa na intercepting missiles,Sasa swali langu Je Huwa hizo missile zinaenda kutua wapi?
Isije ikawa ndio zinaenda kutua kwenye majengo public huko Kiev halafu blame inaenda Russia!
 
Halafu unajua kipigo huwa hakina kificho, maana uso unaumuka! Uso wa ukraine umeumuka sana!! Halafu anadai ataishinda urusi klwenye uwanja wa mapambano! Kosa la NATO ni kutaka kuitumia Ukraine kujaribisha silaha zao dhidi ya zile za urusi, na kwa masikitiko jibu wamelipata!!
 
Uzuri Warusi wanachapwa huko Kherson na hii vita ikisiruhishwa Putin katika uhai wake hawezi kufanya maamuzi ya kijinga kama haya na Ukraine haitokuja kumegwa tena na Warusi itakua heshima kama Hungary maana Hungary aliwahi shikwa sharubu na Mrusi kipigo alichokipata ni heshima ya vizazi mpaka vizazi..
 
Muhimu fanya kazi uendeshe maisha yako achana na mabeberu wamekuzidi kwa kila kitu.

Huyo Urusi mwenyewe crimea inapigwa kila wakati na ana best air defence systems. Ukraine wakipata makombora ya ATACMS watalia kilio cha mbwa.
 
Wenyewe wanakiri kuwa mamia ya missiles na drones za urusi zimetembeza kipigo cha mbwa mwizi huko ukraine na imeachwa gizani!! kipigo kimetembea mwishoni mwa oktoba wakati ulinzi wa anga wa marekani uitwaqo NASAMS uko nchini ukraine toka septemba na haujafua dafu. Hii hapa ni habari toka BBC:

The Ukrainian jet pilots hunting cruise missiles​

The Ukrainian jet pilots hunting cruise missilesClose

Russia has launched hundreds of cruise missiles and drones at Ukraine in the past few weeks, killing dozens of civilians and causing power blackouts across the country.

NATO wameshindwa kumdhibiti mrusi nchini ukraine!! Pamoja na kumwekea vikwazo vya kiuchumi kwa maelfu lakini bado anapeta na pesa yake ya ruble imepanda sana thamani!!
 
Uzuri Warusi wanachapwa huko Kherson na hii vita ikisiruhishwa Putin katika uhai wake hawezi kufanya maamuzi ya kijinga kama haya na Ukraine haitokuja kumegwa tena na Warusi itakua heshima kama Hungary maana Hungary aliwahi shikwa sharubu na Mrusi kipigo alichokipata ni heshima ya vizazi mpaka vizazi..
Welcome to FAKE NEWS.
IMG_20220916_164603_034.jpg
 
Niwekee source inayoonyesha Putin akisema maneno hayo?Mkiambiwa nyie ni wataalam wa fake news mnabisha mzee.
Sawa Mkuu warusi mnapiga sana ngoja tusubiri muda utaongea kwa hiyo hata ile ya kuchukua wafungwa waende vitani nayo utahitaji source? Mimi nilikua namkubali sana Putin sema hii vita imemshusha sana angebaki na mikwara yake tuu kama Pyo au Wachina..
 
Vita imemshusha vipi wakati anashinda kashajichukulia Maeneo mikoa 4 alafu jeshi la Ukraine wamepoteza nguvu wamefeli counteroffensive.
 
Sawa Mkuu warusi mnapiga sana ngoja tusubiri muda utaongea kwa hiyo hata ile ya kuchukua wafungwa waende vitani nayo utahitaji source? Mimi nilikua namkubali sana Putin sema hii vita imemshusha sana angebaki na mikwara yake tuu kama Pyo au Wachina..
Wacha story mingi mzee,weka source hapa ikionyesha Putin alisema OP itachukua siku 3 tu?
 
Back
Top Bottom