mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Baada ya Ukraine kuchakazwa na makombora na drones za urusi, Marekani inajinasibu kuwa itapeleka huko ulinzi wa anga /air defenses wa kiwango cha juu ili kulinda anga la ukraine dhidi ya mashambulizi ya Urusi.
=======
The US will send an initial two NASAMS air defense systems to Ukraine “in the very near future,” a Pentagon official said on Monday. With Russia targeting Ukrainian power infrastructure using missiles and drones, Kiev has lobbied the West for better air defense weaponry.
=========
Taarifa hii imelenga kudanganya kuwa ukraine imepigwa kwa sababu haina air defenses nzuri za marekani zinazoitwa NASAM (National Advanced Surface to Air Missile System). Kwa hiyo imelenga kuonyesha kuwa itakapopelekwa hiyo NASAM missiles na drones za urusi zitakuwa zinatunguliwa sana!! Marekani wameamua kudanganya hivyo kwa sababu wanaamini kuwa watu ni wasahaulifu sana na hawawezi kukumbuka kuwa hizo NASAM tayari zilishapelekwa Ukraine muda mrefu na hazikufua dafu!! Missiles na drones za urusi zinajipigia tu kama zinavyotaka!! Ushahidi wa aliyepigwa huwa ni nundu usoni!! Hali ni mbaya ukraine! Ushahidi kuwa tayari NASAM za marekani ziko nchini ukraine tarehe 26/09/2022 huu hapa:
Ukraine has reportedly received two batteries of NASAMS short- to medium-range ground-based air defense systems from the US. [Twitter]
President Volodymyr Zelenskyy said in an interview broadcast on Sunday (25 September) that Ukraine had received sophisticated air defence systems from the United States.
It was the first acknowledgment that Ukraine had received the National Advanced Surface-to-Air Missile System (NASAMS), long sought by Kyiv and whose shipment was approved by Washington late last month.
“We absolutely need the United States to show leadership and give Ukraine the air defence systems. I want to thank President (Joe) Biden for a positive decision that has been already made,” Zelenskyy said, according to an English-language transcript of the interview.
=========
Ukweli ni kwamba silaha za MAREKANI na NATO kwa Ujumla zimeshindwa kabisa kumng'oa Urusi toka ukraine au kumlinda Ukraine dhidi ya mashambulizi ya Urusi!! Mbumbumbu watakuja hapa na kutamba, Marekani anapeleka ulinzi wa anga Ukraine, Missiles na drones za Urusi zitapukutishwa!! Kumbe zilishapelekwa zaidi ya mwezi mzima uliopita na hazikufua dafu!
=======
US air defense systems to arrive in Ukraine soon – Pentagon
Amid an onslaught of Russian drones and missiles, Kiev has been asking Washington for NASAMS for weeksThe US will send an initial two NASAMS air defense systems to Ukraine “in the very near future,” a Pentagon official said on Monday. With Russia targeting Ukrainian power infrastructure using missiles and drones, Kiev has lobbied the West for better air defense weaponry.
=========
Taarifa hii imelenga kudanganya kuwa ukraine imepigwa kwa sababu haina air defenses nzuri za marekani zinazoitwa NASAM (National Advanced Surface to Air Missile System). Kwa hiyo imelenga kuonyesha kuwa itakapopelekwa hiyo NASAM missiles na drones za urusi zitakuwa zinatunguliwa sana!! Marekani wameamua kudanganya hivyo kwa sababu wanaamini kuwa watu ni wasahaulifu sana na hawawezi kukumbuka kuwa hizo NASAM tayari zilishapelekwa Ukraine muda mrefu na hazikufua dafu!! Missiles na drones za urusi zinajipigia tu kama zinavyotaka!! Ushahidi wa aliyepigwa huwa ni nundu usoni!! Hali ni mbaya ukraine! Ushahidi kuwa tayari NASAM za marekani ziko nchini ukraine tarehe 26/09/2022 huu hapa:
Ukraine receives advanced US air defense system