joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
NENO πππMo Dewji katekwa kwa kukisa ulinzi, watu wakalaumu kwa nini tajiri kakosa ulinzi.
Msanii kajiwekea ulinzi, watu wanalaumu kwa nini kajiwekea ulinzi.
Vyovyote utakavyofanya watu watalaunu.
Bora uishi unavyotaka, wakikulaumu iwe kwa sababu unefanya kitu unataka.
Makerubi ni mabodigadi wa Mungu... Ahsante kwa taarifa tokea kuzimu.Mungu mwenyewe kiti chake kimezungukwa na makerubi, jiulize Mungu ana haja ya kulindwa? Vipi kwa binadamu?
Je umemuona Mo na hao walinzi?
Mo alichukuliwa na fido dido kwa sababu anazozijua yeye
Aisee ninikumbushe huu wimbo nilkuwa nausikia radio maria.Uzio wa umeme, mlinzi wa kimasai, mbwa mkali, tunguli na silaha za kisasa. Hakika hazifai kitu Bwana amtumapo mjumbe kuchukua roho yako....
"Just singing.."
AiseeeeMungu mwenyewe kiti chake kimezungukwa na makerubi, jiulize Mungu ana haja ya kulindwa? Vipi kwa binadamu?
Ujinga mtupuuuu.... Wakina wasiojulikana atakwenda tu. Hizo mkwara kwa nyiye wenye matongotongoHivi mtu mmoja anajiwekea ulinzi kama huu kweli, inamaana gani?
Ni kwa ajili ya usalama au ni mbwembwe na kulewa umaarufu?
Nakukubali sana Domo ila hapa sikuungi mkono....sawa sawa na Harmonize aliyeenda Msibani na Mabodigadi na brich juu,siti ya kwenye party kavaa msibani...
View attachment 1185376
Nawafaham jamaa kadhaa walio na mijengo ya maana Ila wao wamepanga sehemu.Mkuu mbona kahama madale kaenda kupanga mbezi!
Ingekuwa rahisi hivyo si angeinunua tu hiyo nyumba aliyopanga.
Je zile earphones wanazovaa walinzi wa Rais mkuu mawasiliano yake yakoje?Hizo redio call wamebeba kama pambo tu, maana hizo redio call zina limitations, mnara hauwezi kuwa madale wako moshi wawasiliane, huwa zinakumika na kampuni za ulinzi na polisi,mining etc...but wa moshi hawezi wasiliana na control room ya dar kulingana na umbali, Wasitufanye wajinga ,Wapeleke ushamba wao huko!
Kunawakati inabidi tupunguze israfu DMkila mtu ale kuku wake.
That is a logical non sequitur.Thibitisha kwanza wewe Kama mama yako anayesemekana kuwa alikuzaa una uhakika Ni yeye
Yaan we acha tu pesa mwanaharamuKajitu kadogo kanalindwa na mijitu mikubwa "pesa hizi"[emoji119]
Ntrwara kucheleMmmmh kila NTU na life yake