joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
NENO 👍👍👍Mo Dewji katekwa kwa kukisa ulinzi, watu wakalaumu kwa nini tajiri kakosa ulinzi.
Msanii kajiwekea ulinzi, watu wanalaumu kwa nini kajiwekea ulinzi.
Vyovyote utakavyofanya watu watalaunu.
Bora uishi unavyotaka, wakikulaumu iwe kwa sababu unefanya kitu unataka.