Hii ni kwa usalama au ni mbwembwe?

Hii ni kwa usalama au ni mbwembwe?

Mo Dewji katekwa kwa kukisa ulinzi, watu wakalaumu kwa nini tajiri kakosa ulinzi.

Msanii kajiwekea ulinzi, watu wanalaumu kwa nini kajiwekea ulinzi.

Vyovyote utakavyofanya watu watalaunu.

Bora uishi unavyotaka, wakikulaumu iwe kwa sababu unefanya kitu unataka.
NENO 👍👍👍
 
Je umemuona Mo na hao walinzi?
Mo alichukuliwa na fido dido kwa sababu anazozijua yeye
images (7).jpeg
images (8).jpeg

Hapo alienda msikitini.
 
Uzio wa umeme, mlinzi wa kimasai, mbwa mkali, tunguli na silaha za kisasa. Hakika hazifai kitu Bwana amtumapo mjumbe kuchukua roho yako....
"Just singing.."
Aisee ninikumbushe huu wimbo nilkuwa nausikia radio maria.
 
Hivi mtu mmoja anajiwekea ulinzi kama huu kweli, inamaana gani?

Ni kwa ajili ya usalama au ni mbwembwe na kulewa umaarufu?

Nakukubali sana Domo ila hapa sikuungi mkono....sawa sawa na Harmonize aliyeenda Msibani na Mabodigadi na brich juu,siti ya kwenye party kavaa msibani...

View attachment 1185376
Ujinga mtupuuuu.... Wakina wasiojulikana atakwenda tu. Hizo mkwara kwa nyiye wenye matongotongo
 
Hizo redio call wamebeba kama pambo tu, maana hizo redio call zina limitations, mnara hauwezi kuwa madale wako moshi wawasiliane, huwa zinakumika na kampuni za ulinzi na polisi,mining etc...but wa moshi hawezi wasiliana na control room ya dar kulingana na umbali, Wasitufanye wajinga ,Wapeleke ushamba wao huko!
Je zile earphones wanazovaa walinzi wa Rais mkuu mawasiliano yake yakoje?
 
Thibitisha kwanza wewe Kama mama yako anayesemekana kuwa alikuzaa una uhakika Ni yeye
That is a logical non sequitur.

Akiwa yeye au akiwa si yeye haithibitishi kwamba Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Back
Top Bottom