Hii ni kwa wale wanaohitaji usafiri kutoka Dar kwenda Rombo

Hii ni kwa wale wanaohitaji usafiri kutoka Dar kwenda Rombo

DALALI MKUU

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2022
Posts
2,011
Reaction score
4,705
Wakuu huu ni msimu wa Kupiga hela Kuna abiria wengi sana wanaotoka Dar kwenda Mikoa ya kanda ya kaskazini hasa Mkoa wa Kilimanjaro hivyo uhitaji ni Mkubwa sana.

Huku JF kwa matajiri najua kuna wenye Magari Madogo au Coaster Nicheki tufanye biashara.

Nina jamaa kibao sana wanahitaji Usafiri Nikodishie Coaster kwa Bei poa tusafirishie abiria wapande Mreni wakale Mbuzi.

Mwenye nayo Please Tuwasiliane Tuone vile tunaweza kufanya
 
Back
Top Bottom