Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Sisi tunaotumia freebasics ya web hamto tunaona mtakuwa mnashtukia comments tu tayar🤣wametuweza,tunakuwa kama tupo WhatsApp bhana🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tunaotumia freebasics ya web hamto tunaona mtakuwa mnashtukia comments tu tayar🤣wametuweza,tunakuwa kama tupo WhatsApp bhana🤔
Ndio usitake pia kukojozwaWewe lazima utoe aisee
Ndiyo ubinadamu na ukubwa.Lazima kubadilika.Ila ujana ulitutesa sana ingawa tunasema eti tulitesa.😂😂😂😂Yeah,life lazima libadilike
Kuwa makini na mazingira(kwa kichaga wanasema mazingara)😂😂😂MI unanitesa aisee,nivuke tu.But bado kidogo sana
same here..wanawake wahuni wanayajua pia mautunduMungu anisamehe,nadhani ndo maana mapenz yananishinda....Ninawapenda wanaume wahuni kikubwa asiwe na ukimwi
[emoji3525][emoji848][emoji24]
na ninyi mpunguze ubinafsiUsiwe Ivo tafadhali
🤣Aisee🙌Hayo mambo ya kuhangaika kumridhisha mtu nilkuwa nayafanya zamani wakati huo nakula ugali wa mama,ila sahv nafanya jitihada zangu zinazowezekana asipofika shauri yake,
Kuna wanawake wengine hata upigeje hafiki mpaka utumie vitendo vya kusagana ndo anafika kileleni
Mara Moja kabisakwa ujuzi wangu kiasi ktk hii sekta, mwanamke ili afike kileleni sharti uwe umemuandaa vzur na pia yeye mwenyew afurahie kile kitendo anapokua anakifanya (awe na hisia)
na akifika kileleni mara nyingi huwa anaishiwa nguvu na hupata kausingizi gafla
ila kwa wale waliooa au wenye mahusiano ya muda mrefu(wanaokutana zaidi ya mara 3/4 kwa wiki) sio kila mara mwanamke hufika kileleni, anaweza fika mara 2 kati ya 4 au 1 kati ya 3
Miguno ya kukutia moyo ina utofauti mkubwa na miguno halisia, utagundua tuHabari zenu?
Swali kwamba utajuaje kama mpenzi wako anafika kileleni muda unapokuwa unamsugua au hajafika kileleni hata kama kakuambia amefika. Au unatambuaje kuwa huu mguno wa mahaba ni kweli imemkolea au hapa anaigiza hana lolote. Tuambieni ili tuwe tunakuja na mbinu zote [emoji1787][emoji6]