Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Wacha wafurahie maana wengine wamezitafuta sana....
Wazazi ndio mungu wa pili ambapo ni mama na Mimi baba mwanaume hio ya kusema wewe pekee jike ni mungu wa pili umetoa wapiHahahah unaumia hadi kwa mimba tubebazo?mara mseme tunazalishwa na kuachwa,mara tunaomba Sana hela,mara hatuoleki,leo unaumia tukiringishia mimba zetu
Kweli we run this shit meeeennnn
Binafsi nikiwa mjamzito naringishia hadi kuna watu wanatamani kunikill ila ndo hivyo uzazi ni barka na sisi ni miungu wa pili,so kijana tuheshimu sana,ukitutusi sisi sawa umemtusi Muumba wako.
Mngekuwa mnatafuta kwa jasho msingelialia kila leo jf,wengi wenu mnalelewa na wanawake periodWazazi ndio mungu wa pili ambapo ni mama na Mimi baba mwanaume hio ya kusema wewe pekee jike ni mungu wa pili umetoa wapi
Usilete point za kuzaa kwa uchungu sjui blah blah nabeba miezi tisa hiyo wanaume haituhusu kila mtu apambane na Hali yake kama Mimi ninavyotafuta kwa jasho
Nakurekebisha hapo sijaja kujibu hii Mada usikasirike mwaya mtoto mzuri the iron butterfly
Kuna wengine wanafanya pregnancy modelling..siyo kwamba anajianika hovyo hovyo tuu..analipwa,ni kazi kama zilivyo nyingine.
Example hyo pic ya kwanza ulotolea mfano, huyo actress Shay Mitchell yupo kazini hapo...
Pia vile vile ni kama fahari na kujiamini na mwili wako(mawazo yangu).
Dunia ina enda kasi huwezi kuikamata we pita kama huwaoni
👀Kumekuwa na tabia ambayo inakuja kwa kasi sana zama hzi inawahusu nyie wanawake wajawazito. Sijui kama nitakuwa nakosea ila kwa utamaduni wetu wa kiafrica haipendezi kwakweli. Wanawake sikuhz mnatumia ujauzito kama fashion unakuta dada anapost instagram anatuonesha uchi wa tumbo lake halisi (uncovered). Anyway kupost sio tatizo why usipost ukiwa covered? Mpaka tuone tumbo lako ndio post inakua nzuri.
Ushauri kwa dada zetu jaman sio kila kitu cha kuiga na haipendezi kumbuka yule ni kiumbe umebeba kwa makusudio ya mungu, ila wewe unatumia kama fashion.
Jaman nyie mnaonaje hili suala katika jamii zetu za kiafrica ni sawa kwa mwanamke kutuonesha uchi wa tumbo lake uko kwenye social medias?? Mnasemaje?
View attachment 1142358View attachment 1142359
[emoji102]
Cheus mangalaa
niwawaza sana nkipata kitumbo na mimi ntajipost 🤣 🤣 🤣Cheus mangalaa
niwawaza sana nkipata kitumbo na mimi ntajipost 🤣 🤣 🤣
Na wengine wakiinama tu wanaokota kidudeWacha wafurahie maana wengine wamezitafuta sana....
Na wengine wakiinama tu wanaokota kidude
Na wengine wakiinama tu wanaokota kidude