Hii ni kwa WASAFIRI NA DIASPORA TU: Lets Go, Wale mliofanikiwa kwenda nchi za Ulaya au America tuambieni ni njia zipi mlizitumia??? AGENTS??

Habari
Kama Heading inavo sema, hii ni kwa watu wa safari tuu ikiwa wew huamin katika safar na upambanaji katika nchi za watu basi pita kushoto hii haikuhusu

Kwa wale wenzangu wenye ndoto za kusafir kwenda Poland, Australia, Ujeruman, Denmark, Scandinavia, UK, Canada, US na nchi nyingn zenye fursa kwa wapambanaji huu uzi apa kushare mawili matatu on how we can make our dreams true on 2025

Yafuatayo ni mambo ambayo napenda kujua kutoka kwa yoyote aliyefanikiwa kufika huko au yoyote ambae bado hajafanikiwa lakn anafuatilia hiz mambo na ana Ideas
1; Agents, je ni kweli hapa kwetu Tanzania kuna Agents wanaosaidia watu kusafir na kwenda kufanya kazi huko mbele?????? na je hao agents ni real Agents au weng wao ni matapel??? km wapo trusted agents wanao safirisha watu basi wataje hapa na tuambie ofis zao zipo wapi
2; Je ni scholarships zipi au za nchi zipi ni rahis zaid kwa watz kuzipata na kuzitumia kuingia katk nchi hizo kwa njia ya kusoma?
3; Ukiachana na Agents ni njia ipi nyingine ambayo kijana anaejitafuta anaweza kuitumia kufanikisha kusafir kwend nchi zilizo endelea na kupambana kwa ajili ya manufaa yake, ya familia na ya taifa kwa ujumla.

Sina Information nying lkn mara zote nmekuw nikiwaza nje ya Box na kufikiria ni jinsi gan ntaweza kuingia katk nchi za ulimwengu wa kwanza kwa lengo la kupambana na kujitafuta for myself, my family and my vountry in general so nawaomba wale ambao tayar mlifanikiwa mtupe Hints muhimu mlifanikishaje au mtu yoyt mweny Ideas bas tupe mchango wako pengn kupitia mchango wako kuna watu watafanikiwa in 2025 na watasaidia familia zao just thtrough your Informations

NOTE:; km safar za kutafuta maisha nje sio ndoto zako usicomment chochote plizz hii ni kwa ajili ya hustlers pekee

All in All wishing you all MERRY CHRISTMAS and HAPPY NEW YEAR
All the Best Mkuu,
kila kitu kinawezekana ni juhudi tu na kumwomba Mungu!
Ila Kama hapa Bongo unaweza ukapata income zaidi ya 1.5 m kwa mwezi fikilia mara mbilimbili kabla haujaenda nje.

Nchi ambazo sikushauri Kwenda labda kama una mkataba rasmi wa ajira!
1. Nchi zenye majina yanayoishia na neno"STAN" - zina ubaguzi uliopitiliza kiasi cha kuhatarisha maisha ya mtu mweusi. pia fursa kupatikana ni adimu. Fursa pekee ambayo utaipata tena kirahisi tena kwa minajiri ya kupata thawabu ni kusafisha nyumba za ibada (Wanapenda kutoa fursa hii kwa weusi).
2. East European countries (Poland, Moldova, Serbia, Hungary, Romania, Slovenia n.k). huku kuna ubaguzi na wana shida za ajira kama sisi. Na wenyewe huwa wanazamia kwenda Magharibi.
3. South European countries ( Ureno, Spain, Ugiriki, Saprus, Italy, Ufaransa, Malta n.k) zina hali ngumu ya maisha na Waafrika wengi waliopo huko wanaataabika (wanakufa na tai shingoni) ambapo wengine wanauza pipi na kulala chini ya madaraja. Ila kama una mkataba wa kazi maalumu nenda.
4. Latino Countries; unaweza geuzwa mtumwa au utakuwa zungu la unga au ganstar

Nchi ambazo Nashauri uende!

a. Nordic Countries; Norway, Sweden, Denmark, Finland. standard ya maisha ipo juu, watu ni wema na fursa zipo. hata kama kichwani haupo vema utapata fursa. Pia school fees ni bure katika public institutions.

b. Germany speaking countries; Germany, Austria and Switzerland. standard ya maisha ipo juu na fursa zipo. hata kama kichwani haupo vema utapata fursa. Ujerumani school fees ni bure katika public institutions na Uswiss na Austria fees ipo chini sana. ingia hapa DAAD- DAAD-Scholarships. Kwa wale wanaotaka graduate programme ombeni University of Geneva au Geneva Graduate Institute (IHEID) wapo vizuri na wana ada ndogo.

c. English speaking countries; UK, Ireland, Icelanda, USA, Canada na Australia, Newzealand. standard ya maisha ipo juu, watu ni wema na fursa zipo. hata kama kichwani haupo vema utapata fursa. changamoto ni kuwa living cost zipo juu sana na accommodation ni adimu. watu wana stress sana kutokana na kutingwa na gharama kubwa za maisha. ukilemaa au ukipenda kitonga unaweza ukaolewa na mtu wa jinsia yako, siyo utani. Note, school fees ipo juu sana katika hizi nchi hata kama unafanya short course. scholarship zipo ila ni mbinde kuzipata.

d. Nchi za watu warefu; Netherlands, Luxembourg. standard ya maisha ipo juu, na fursa zipo. hata kama kichwani haupo vema utapata fursa. Netherland wana course fupi nyingi zenye scholarship. check Nuffic - Scholarships for studying in The Netherlands.

f. Nchi za watu wafupi, Tiger countries; Japan, South Korea, Vietnam. Fursa kubwa huku ni English Teacher. Lakini pia kazi za box zinapatikana. Korea Kusini na China wana scholarship nyingi na rahisi kupata, ona GKS Scholarship (KGSP) - GKS Scholarship

Note: fursa kubwa ya halali Ughaibuni ni kuchamba vibibi/vibabu, catering and industrial box.

Njia za kwenda:
1. Omba course za hotel management hasa upishi.
2. Omba kushiriki mikutano ya Kimataifa hasa ya sirikali
3. nenda kashiriki maonyesha ya kimataifa
4. anza kusoma masomo ya lugha Dar then baadaye omba kwenda kuongeza ujuzi katika nchi hizo. Mfano anza masomo ya kijerumani au kifaransa nchini ukihihitimu omba omba kwenda Uswiss au Ujerumani au Austria kujiendeleza zaidi.
5. Kwa ambao wanatoka familia bora ni rahisi kwenda nchi yeyote, nenda kafanye master degree au shahada watakupa visa.
6. Kwa risk taker ambao kufa ni dk sifuri huwa wanapitia Brazil then unapandisha mexico baadaye uso kwa uso na Shit hole; wengine wanapitia libya tunisia then Mediterania (ni wachache sana waliopita hii root wana marinda)

Note: jitahidi kabla ya kwenda West passport yako iwe angalau na visa za South Africa, South Korea, Japan au Israel
 
Oya acha Bangi Mzee huu Uzi siriazi nipo hapa kusikiliza madini juzijuzi nimeenda uhamiaji tayari passport ipo kwenye begi nasubiri nimalize shule In Shaa Allaah niangalie wapi niibuke.

Nitaenda kulima msimu ukianza In Shaa Allaah nikatafute pesa ya nauli kwanza na mambo mengine.
Hapo akili inawaza ulaya na marekani kwanini usiende pakistani au afghan.?kwa kobazi wenzio.
 
Bless
 
Habari
Kama Heading inavo sema, hii ni kwa watu wa safari tuu ikiwa wew huamin katika safar na upambanaji katika nchi za watu basi pita kushoto hii haikuhusu

Kwa wale wenzangu wenye ndoto za kusafir kwenda Poland, Australia, Ujeruman, Denmark, Scandinavia, UK, Canada, US na nchi nyingn zenye fursa kwa wapambanaji huu uzi apa kushare mawili matatu on how we can make our dreams true on 2025

Yafuatayo ni mambo ambayo napenda kujua kutoka kwa yoyote aliyefanikiwa kufika huko au yoyote ambae bado hajafanikiwa lakn anafuatilia hiz mambo na ana Ideas
1; Agents, je ni kweli hapa kwetu Tanzania kuna Agents wanaosaidia watu kusafir na kwenda kufanya kazi huko mbele?????? na je hao agents ni real Agents au weng wao ni matapel??? km wapo trusted agents wanao safirisha watu basi wataje hapa na tuambie ofis zao zipo wapi
2; Je ni scholarships zipi au za nchi zipi ni rahis zaid kwa watz kuzipata na kuzitumia kuingia katk nchi hizo kwa njia ya kusoma?
3; Ukiachana na Agents ni njia ipi nyingine ambayo kijana anaejitafuta anaweza kuitumia kufanikisha kusafir kwend nchi zilizo endelea na kupambana kwa ajili ya manufaa yake, ya familia na ya taifa kwa ujumla.

Sina Information nying lkn mara zote nmekuw nikiwaza nje ya Box na kufikiria ni jinsi gan ntaweza kuingia katk nchi za ulimwengu wa kwanza kwa lengo la kupambana na kujitafuta for myself, my family and my vountry in general so nawaomba wale ambao tayar mlifanikiwa mtupe Hints muhimu mlifanikishaje au mtu yoyt mweny Ideas bas tupe mchango wako pengn kupitia mchango wako kuna watu watafanikiwa in 2025 na watasaidia familia zao just thtrough your Informations

NOTE:; km safar za kutafuta maisha nje sio ndoto zako usicomment chochote plizz hii ni kwa ajili ya hustlers pekee

All in All wishing you all MERRY CHRISTMAS and HAPPY NEW YEAR
KUna uzi humu ndani ...jaribu kutafuta......utakusaidia
 
Hapo akili inawaza ulaya na marekani kwanini usiende pakistani au afghan.?kwa kobazi wenzio.
Nataka niende Qatar , Dubai na Saudi nitaApoly kusoma Scholarship ya masomo ya Dini In Shaa Allaah.
 
Back
Top Bottom