Hii ni kweli kuhusu Majini?

Huyu jamaa ni MUONGO.
Uislam umekataza binadamu kushirikiana na majini,na misikitini majini hawatakiwi kukaa huyo kaongopa.
Na suratul jinni ambayo wametumiwa hao majini waliambiwa na Allah"Hakika msikiti ni ya Mungu na asihusishwe yeyote na yeye Abadan".
Na jini ataeingia ndani ya mwili wa binadamu huyo ni shetani kakiuka.
 
Majini na mashetani? Umeongeza msamiati mwingine
 
Unakataa nini sasa wakati majinn yanaingia hadi kuswali na quran inasema malaika anakaa kulia kwa muumin na jinn anakaa kushoto ndio maana muumin anasalimia kushoto na kulia akisema as-salaam aleikum waramatullah akigeuza shingo kulia na kushoto
 
Majini na mashetani? Umeongeza msamiati mwingine
Kwa mujibu wa imani yetu shetani ni kiumbe yeyote ambaye ana matendo maovu,hususan jini.
Hivyo hata wewe ukiwa na matendo maovu ni sawa na shetani,shetani ni sifa.
Ukiwa muovu kupindukia umevaa sifa ya ushetani.
 
Pesa Shetani? Muziki Shetani? Muziki Moto?
 
Unakataa nini sasa wakati majinn yanaingia hadi kuswali na quran inasema malaika anakaa kulia kwa muumin na jinn anakaa kushoto ndio maana muumin anasalimia kushoto na kulia akisema as-salaam aleikum waramatullah akigeuza shingo kulia na kushoto
Sababu ya kusalimia kushoto na kulia sio za kumpa jini na malaika salamu.
Umedanganywa,majini walipewa ulimwengu wao ambao hawaruhusiwi kujichanganya na binadamu kwa mujibu wa uislamu.
Kutoa salamu katika kumaliza swala ni kutoa shukran kwa Allah na si vinginevyo,alokwambia eti kushoto jini kulia malaika amekudanganya sana mkuu.
Msiokoteze tu maneno kwa watu huko.
Mungu anajua kuwa majini ni viumbe watata ndio maana alipiga marufuku sisi binadamu kushikamana nao.
 
Mashehe mahiri ndio wanatuambia hivyo wewe ni nani hata uukane ukweli jamaa yangu
 
Mashehe mahiri ndio wanatuambia hivyo wewe ni nani hata uukane ukweli jamaa yangu
Nimekuletea ushahidi wa Qur'an kaka sura ya 72 mstari wa 18 ikisema misikiti ni ya Mungu.
Sio kila mvaa kanzu ni shekhe.
Kuna watu kibao wana elimu ya kupotosha sio tu kwetu sisi waislam hadi kwenu wakristo wapo hao watu.
 
wewe ni mganga wa kienyeji au siyo!
 
Nimekuletea ushahidi wa Qur'an kaka sura ya 72 mstari wa 18 ikisema misikiti ni ya Mungu.
Sio kila mvaa kanzu ni shekhe.
Kuna watu kibao wana elimu ya kupotosha sio tu kwetu sisi waislam hadi kwenu wakristo wapo hao watu.
Na sidhani kama kuna.mtu anakuwa shaikh bila kuwa na ilm falaki inawezekana wewe ni mmumin tu wa kawaida ndio.maana huyafahamu haya.
 
Na sidhani kama kuna.mtu anakuwa shaikh bila kuwa na ilm falaki inawezekana wewe ni mmumin tu wa kawaida ndio.maana huyafahamu haya.
Nayafahamu tena,mpaka ilmu aib ambayo kiimani si ruhusa kuifahamu ninaifahamu.
Kama ningesema nikiuke niwe mganga ningeshakuwa mganda.
Ila kidini hairuhusiwi.
Ukitaka hata qassam za kuita hao viumbe nakufundisha na nakupa.
Na wanakuja unawatumia vile utakavyo.
 
Na sidhani kama kuna.mtu anakuwa shaikh bila kuwa na ilm falaki inawezekana wewe ni mmumin tu wa kawaida ndio.maana huyafahamu haya.
Sheikh ina maana kuu mbili.
Kwanza ni mtu mzee ambaye ana umri mkubwa.
Pili kiimani ni mtu mwenye elimu kubwa kidini elimu ya Qur'an na Sunnah,hayo mengine hayahusiani mkuu wasikudanganye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…