Hii ni kweli kuhusu Majini?

Na wewe ulichukua pesa zao??
Pole sana, ulivunja masharti gani?
Nakumbuka kipindi natarajia kumuoa mke wangu wa sasa,ambae ni mke wangu wa tatu.
Ishu zangu kipindi kile ilikua madini na sana sana kipindi hiko nilijikita sana Mashewa njia ya amani,japo kule kulikua kuna illegal mining.
Sasa nilichokosea nilipoenda kuonana na mtarajiwa wangu nililala nae.
Na wale jamaa walisema uzinzi hawataki,na yule binti ndio kwanza nilikua najuana naye.
Aiseee!!!!Kwanza nilivyolala niliota nachapwa bakora hizo sio poa.
Naamka asubuhi mwili unauma umevimba,toka hiyo siku kila nachoshika kinaporomoka.
Aisee yule binti wazazi wangu waliniolea kwa pesa zao maana nilishajitambulisha kuwa nitakuja kutoa posa kwao.
Nililelewa na wazee mpaka nakuja kukaa sawa ni mwaka jana tu hapo dadaangu.
 
Mkuu mi nilidhani ni kule kwenye kijiwe chetu cha vita za Russo-Ukraine, Gaza-Israel, kumbe na huku upo? karibu sana..🙂
 
Majini yaliishi Mbinguni na yaka fukuzwa huko kwa uchafu wake. Ni kwa nini Majini yalifukuzwa Mbinguni ?
وَأَنَّا لَمَسْنَا السَّمَاءَ فَوَجَدْنَاهَا مُلِئَتْ حَرَسًا شَدِيدًا وَشُهُبًا

(AL - JINN - 8)
Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.

وَأَنَّا كُنَّا نَقْعُدُ مِنْهَا مَقَاعِدَ لِلسَّمْعِ ۖ فَمَن يَسْتَمِعِ الْآنَ يَجِدْ لَهُ شِهَابًا رَّصَدًا

(AL - JINN - 9)
Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia!

Na yakaona njia pekee ni kuwa Maislamu, kuliko kuomba msamaha kwa Mungu?

وَأَنَّا مِنَّا الْمُسْلِمُونَ وَمِنَّا الْقَاسِطُونَ ۖ فَمَنْ أَسْلَمَ فَأُولَـٰئِكَ تَحَرَّوْا رَشَدًا

(AL - JINN - 14)
Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu.
 
Nani alifukuza majini kutoka mbinguni, hilo andiko lipo wapi?
 
Umechanganya ayah na asbab zake.
We kweli nguruwe pori.
Hizo ayah za juu zinazungumzia kuhusu mashetani na wachawi wanaojaribu kupenya kutaka kuuingilia ufalme wa Allah,basi Allah huwafukuza kwa vimondo.

Majini hawakuwahi kuishi mbinguni.
Majini waliishi katika hili dunia na walipozidisha maasi Allah alituma malaika wakawatimue ndio akabaki Iblis ambaye alikua jini mtoto.
Ni yeye pekee alipata nafasi ya kuishi mbinguni,ila alipokaidi kumsujudia Adam alifukuzwa ulimwengu wa mbinguni.

Ayah hiyo ya suratul jinni inaelezea kuwa wapo majini watiifu na waovu.
Unaokoteza tu ayah pasi na kujua zinaelezea nini.
 
Pole sana ila nimecheka ulivyokula mbalati 🤣🤣🤣
Sasa nini kilikusukuma mpk ukachukua pesa za masharti za majini??
Kwani huko mgodini ulikuwa hupati mawe?
 
😹😹😹
 
😹😹😹 Wewe jamaa umenichekesha ujue
 
Pole sana ila nimecheka ulivyokula mbalati 🤣🤣🤣
Sasa nini kilikusukuma mpk ukachukua pesa za masharti za majini??
Kwani huko mgodini ulikuwa hupati mawe?
Madam madini yanashikiliwa na hao viumbe.
Usidhani ukitaka kufanya biashara ya madini unaingia tu unafanya unapata,hata ukiwa na mabilioni kama hao jamaa hawataki ushike mali zao huzishiki.
Kitendo cha kumuita akufanikishie upate jiwe ni sawa na kutumia pesa yake.
Tena bora ufanye hivyo,maana ukitaka pesa kama pesa Yani hizi hapa masharti yake ni zaidi ya hayo nilokutajia.
Kuna kisomo kinaitwa Qassam/azma,hivi ni visomo vya kuwaita marohani wenye mali za madini na pesa.
Mie nilipoenda na huyo ndugu yangu tulipiga kisomo cha kumuita Hamamah.Huyu anakuja kama ndege tai mkubwa,na kadri unavyozidi kusoma azma anabadilika kuwa mwanamke mzuri sana.
Masharti ya kupewa pesa kama pesa;
-Ukubali kuoana nae yani yeye awe mke wako.
-Usioe mwanamke mwingine zaidi ya yeye huyo jini.
-Usijaribu kujihusisha kivyovyote na wanawake wengine.

Mamaangu wewe kuweza!?
Nikakubali masharti yale nilokutajia juu kule,masharti yale ni ya wao kukupa pete itakayokuwezesha kupata dhahabu kila unapoenda machimboni,maana Hamamah ni malkia wa dhahabu.
Sasa kuivaa ile pete na ukatafuta dhahabu pale ni sawa anakutafutia yeye.
Sasa kauze hiyo dhahabu ambayo kakusaidia kuipata halafu utombee pesa yake.
Alooooo😂😂😂 kazi unayo.

Sasa jiulize ningekubali masharti ya pesa kama pesa kingenikuta nini!?
 
Majini yana jinsia.
Majini yanazeeka
yanaugua
yanakufa
yana wivu, hasira,furaha n.k kama sisi
yana free willing kama sisi..
yaliumbwa kwa moto..
yanazaliana
majini yana jinsia.
majini yaliumbwa kwa moto.
Malaika waliumbwa kwa nuru.
malaika hawana jinsia.
malaika hawazaliani.
malaika hawana free willing.

Kuna sehemu nilisoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…