Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwaio mkuu kwalugha rahisi unataka kunambia hao majini kama unataka mafanikio wanakupa..?Hujanielewa.
Ngojea nikueleweshe.
Kipindi huyo shekhe anasoma tulikua tukimfatiza.
Alipotokea nilizungumza shida zangu.
Akatoa masharti katika mafungu mawili.
Masharti ya kwanza ni ya yeye kukupa pete ya bahati;
-Usilewee pesa yake
-Usizini nje tofauti na mkeo
-Usigawe pesa utazopata hovyo hata kama hao wanawake hautembei nao.
Na kuna masharti ya pesa kama pesa,unataja hela unayotaka unapewa,masharti.
-Umuoe yeye.
-Usioe mwingine zaidi yake.
-Usijihusishe na wanawake wengine.
Mimi nilichagua masharti ya kule juu ya kwanza ya kupewa bahati,na hata kama ukipewa bahati au pete ya bahati pesa unazopata ni kama pesa zao tu isipokua hiyo ni indirect money ila hiyo ya kumuoa ni direct money.
Hapo sijui umeelewa sasa!?
Mkuu huyu anaitwa nani nimfatilie?
Huyu alikuwa sheikh hussein mubarack,pia unaweza kumtafuta mwengine sheikh omar mnyeshani hawa kabla ya kuwa wakristo walikuwa mabingwa falakiMkuu huyu anaitwa nani nimfatilie?
Aisee.. sawa mkuuHuyu alikuwa sheikh hussein mubarack,pia unaweza kumtafuta mwengine sheikh omar mnyeshani hawa kabla ya kuwa wakristo walikuwa mabingwa falaki