Hii ni list ya wasanii waliotazamwa zaidi nchini Kenya, Mmakonde anazidi kupotea kupotea anga za kimataifa

kabisa mkuu............anatumia nguvu kubwa ku kiki
 
Naamini vipaji huwa vinaenda vinafifia Basi hata yeye ndo kinafifia hivo japo Ni mapema Sana ukicompare na watangulizi wake Kama Diamond & Alikiba
kimataifa anafifia .........but kibongo bongo bado yumo
 
Kenya gani hyo alikiba hayupo halafu hyo list mtu yoyote anaweza kutengeneza WCB kwa kusifia upuuzi wakati wizkid anajaza 02 arena huko kwa wajuba.
hii haijatolewa na wcb
 
Too much copying from western kwa Otile. Muziki wake umekaa kimagharibi sana sometimes hata anachoimba hukisikii. In my opinion this guy is overrated.
jamaa anajua sana....................sikiliza wimbo wa REGINA
 
Otile na yule mwanadada Jovial jia hatari kabisa. Sema ndo hivyo
Ungekuwa karibu ningekupatia kreti la bia.

Otile na jovial ni combo moja matata sana aseeh ninachoona ni empire aliyotengeneza mondi inafunika bado nyayo zingine ingawa diamond hajatoa kazi nyingi nzuri mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…