JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Wamuache tu Harmo apambane na muziki wake.Umezunguka wee lakini lengo lako ilikuwa ni kumponda harmonize. Sijui kakufanyaje[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamuache tu Harmo apambane na muziki wake.Umezunguka wee lakini lengo lako ilikuwa ni kumponda harmonize. Sijui kakufanyaje[emoji28]
kabisa mkuu............anatumia nguvu kubwa ku kikiKesho ataitisha tena press nakusema kwanini anaishika hiyo nafasi, ukiwekeza kwenye kiki sana madhara yake ndio haya hata kwenye mauzo ya mziki afanyi vizuri ingawa yenye ndio anatoa ngoma nyingi.Shida kuu ya huyu msanii akishatoa ngoma lazima afanye na kiki na bahati mbaya kiki zake zinafunika nyimbo zake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaaah nchi za watu
kiba hapend show offKumbe yupo mm nilidhan hata hyo top10 hayupo
Alikiba ndyo anatakiwa ajifunze kwa Harmonize maana day today mwamba anashuka TU
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]kuna msanii ............kila siku anapga show .........nangwanda sijaona
Ungekuwa karibu ningekupatia kreti la bia.Otile na yule mwanadada Jovial jia hatari kabisa. Sema ndo hivyo