Harmonize kwa expectation zako baada ya kutoka wasafi ulidhani atapaa zaidi ya alivyokuwa wasafi au uliona ataporopoka?Kesho ataitisha tena press nakusema kwanini anaishika hiyo nafasi, ukiwekeza kwenye kiki sana madhara yake ndio haya hata kwenye mauzo ya mziki afanyi vizuri ingawa yenye ndio anatoa ngoma nyingi.Shida kuu ya huyu msanii akishatoa ngoma lazima afanye na kiki na bahati mbaya kiki zake zinafunika nyimbo zake
Ukienda Wasafi watakupa jina, mbinu za kufanya vizuri kwenye Mziki n.k so ukitoka Wasafi unakuwa na faida ya hivyo vitu nilivyokutajia kwa upande hasara mashabiki wa diamond na Wasafi utawapoteza but itapata haters wa Wasafi lakini kinachobakia kutoka kwako sio Tena unaanza upya kwasababu jina linabaki pale pale sasa hapo inabaki kwa msanii mwenyewe kujituma zaidi au kulose confidence?Harmonize kwa expectation zako baada ya kutoka wasafi ulidhani atapaa zaidi ya alivyokuwa wasafi au uliona ataporopoka?
Harmonize ni msanii mzuri ila aache tu pang'anga'a, ukiachwa achikaUkienda Wasafi watakupa jina, mbinu za kufanya vizuri kwenye Mziki n.k so ukitoka Wasafi unakuwa na faida ya hivyo vitu nilivyokutajia kwa upande hasara mashabiki wa diamond na Wasafi utawapoteza but itapata haters wa Wasafi lakini kinachobakia kutoka kwako sio Tena unaanza upya kwasababu jina linabaki pale pale sasa hapo inabaki kwa msanii mwenyewe kujituma zaidi au kulose confidence?
Nmechambua Ila cjaona alipomzungumzia vbaya harmo, n kwamba tu aache kulialiaSoma tena then chambua
Yu go basti mai medullawanasema " konde boy for everrebodee"..
Jeeeshiiii.....
We fala ni mvivu kinyamaaa, umeshindwa kabisa kuona tarehe kwenye hiyo post ?Ni kusikilizwa ndani ya muda gani au Ni list ya mwezi wa ngapi ?
Mimi sio shabiki wa Kiba kabisa yani,, ila hii albamu yake mpya ina mikwaju mingi mikali inapigwa mtaani hadi tv,radio stations! Hapa namtetea Kiba aisee!Kiba keshapote ila ana diehard fanatics waliokubali kuzama naye mtaroni, hao hawatomuacha kamwe.
Akifanya tukio lolote wanapiga kelele nyingi sana kujaribu kuuaminisha ulimwengu au labda ni kijaribu kujidanganya wenyewe then wanapotea naye wakisubiri japo hata amtunge mtu jina angalau kuwe na justification ya kuwa bado yuko relevant, hata nyimbo zake huwa zina-hit at least wiki ya kwanza toka zinapokuwa released then zinafifia wiki inayofuata and the third week inakuwa kwishnei. Bora mmakonde anakuwa ana-trend kwa vituko na si muziki wake lakini midomoni mwa waja anakuwepo[emoji1][emoji1]
We ndo fala tena msenge kunielekeza kistarabu unashindwa kwani?We fala ni mvivu kinyamaaa, umeshindwa kabisa kuona tarehe kwenye hiyo post ?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ushapanick mchumbaWe ndo fala tena msenge kunielekeza kistarabu unashindwa kwani?
Kwani unasemaje labda?Yani eti mond ndy msanii mkubwa harf tunataka tukawa challenge wanaija? Tuache utani bana.
Nadhani kuna njia za maana za kuwamotivate wasanii wetu japo sipingi yeah na hii ni njia mojawapo lakini nikwambie tu ukweli bongo ilitakiwa iwe imeshavuka huku kushindania views za youtube / kusikilizwa sana Kenya that is my point.Hata mbuyu ulianza kama mchicha, na hao Wapopo kuna nchi wanazoshindwa kufikia mafanikio kama yao katika showbiz industry.
Hizo data/statistics ni muhimu ku motivate wasanii ili wazidi kuongeza bidii.
Sijawahi kupaniki na vitu vidogo Kama hivyo mrembo wewe
Otile hayuko red,yupo brownOtile namkubali huyu dogo...yuko njema sana
Huu ujinga wa views mtaacha lini nyie[emoji16],Angalia streams na views amepata ngapi the whole November licha ya kutoa album, tumia facts and figures badala ya blah blahs ili uende na uhalisia.
Unamchukulia poa sana Mond, wimbo wa sukari ni mkubwa tu au kwakuwa wamerekani hawajaikubali kama essence.Huu ujinga wa views mtaacha lini nyie[emoji16],
Sukari ya zuchu ina views 60mil afu essence ya wizkid Ina views 53mil.
Hayo kwa hizo facts zenu ipi nyimbo kubwa hapo?
Overall burna boy kashindwa na diamond kwa views YouTube haya niambie nani msanii mkubwa hapo!
Je sukari ni nyimbo bora zaidi ya nyimbo zote za wasanii wakike tz! Jibu ni hapanaUnamchukulia poa sana Mond, wimbo wa sukari ni mkubwa tu au kwakuwa wamerekani hawajaikubali kama essence.