Kiba keshapote ila ana diehard fanatics waliokubali kuzama naye mtaroni, hao hawatomuacha kamwe.
Akifanya tukio lolote wanapiga kelele nyingi sana kujaribu kuuaminisha ulimwengu au labda ni kijaribu kujidanganya wenyewe then wanapotea naye wakisubiri japo hata amtunge mtu jina angalau kuwe na justification ya kuwa bado yuko relevant, hata nyimbo zake huwa zina-hit at least wiki ya kwanza toka zinapokuwa released then zinafifia wiki inayofuata and the third week inakuwa kwishnei. Bora mmakonde anakuwa ana-trend kwa vituko na si muziki wake lakini midomoni mwa waja anakuwepo[emoji1][emoji1]