Reforms zikifanyika ,tutapata viongozi wenye maono na wenye kuweza kujua uhalisia wa mambo mitaani,kwa maana watakuwa wakiwatumikia wananchi na si kugonga meza na kupiga vigeregere ,mpaka kupeleka wengine kutuambia tuhame nchi,Wakuu
Kama wewe ni mfanyabiashara jiandae kwa kuingia gharama hizi katika uendeshaji(zote ni za serikali ispokua # moja)
1. Kodi ya Frame – Malipo ya pango kwa mwenye jengo la biashara.
2. Kodi ya TRA – Kodi ya mapato au VAT inayotozwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania.
3. Leseni ya Biashara – Kibali cha kuendesha biashara, hulipwa kila mwaka.
4. Service Levy – Ada ya huduma kwa halmashauri kutokana na huduma za jamii zinazotolewa.
5. Fire Extinguisher – Gharama ya kifaa cha kuzimia moto kwa usalama wa biashara.
6. Kodi inayotokana na Mkataba wa Pango – Gharama ya kodi inayotokana na mkataba wa pango utalipia mpangaji (mwenye nyumba haangaiki)
7. Kodi ya kuuza bidhaa Mtandaoni – hii itaanza rasmi baada ya mwezi mmoja kutoka sasa. Wale wa instagram, tiktok au X mjiandae kujisalimisha.
8. Ushuru wa Taka – Ada ya kusafisha na kuondoa taka za biashara.
9. Ushuru wa Bango/Matangazo – Malipo ya kibali cha mabango ya biashara au matangazo.
Hii serikali itizame sana hizi gharama. Zinakatisha tamaa sana, utazilipa bila kujali biashara imetiki au imefeli.
Upo tayari?
Unatamani nini kiondolewe hapo?
Namna ya kulipa deni la serikali sioni hata moja ikipunguzwaReforms zikifanyika ,tutapata viongozi wenye maono na wenye kuweza kujua uhalisia wa mambo mitaani,kwa maana watakuwa wakiwatumikia wananchi na si kugonga meza na kupiga vigeregere ,mpaka kupeleka wengine kutuambia tuhame nchi,
Toa kuanzia 4 ,5 ,6 na 9
Aisee umeongeza costs muhimu saana hapo. Sijataja vyote hapo, jiulize kwa mtaji upi unatoboa hapo? Labda ukwepe baadhi ya vilivyomo hapo km kodi...nkKama una mfanyakazi utadaiwa skills and development levy. Bado kuna operating costs kama mishahara, umeme, security, transportation, WiFi , msosi, etc. kuna wakati unalazimika kuwa na store, nayo pia unailipia kodi . Kupata faida ni mpaka upambane haswaaaaa
Tunataka kulelewa na mashangaziWasomi wanasemaje?
Hao mashangazi wanapata hela wapi?Tunataka kulelewa na mashangazi
Wanafanya kazi serikalini..Hao mashangazi wanapata hela wapi?
Fanya mpango umuweke ndani, ili kupunguza ugumu kwenye biasharaWanafanya kazi serikalini..
Mfano nishwahi pata mshangazu anafanya kazi pale gold star yeye ni IT siju ila alikua ananipa kazi za graphics pamoja na mzigo..
Chanzo cha kumpoteza ni mimi kutingwa na masomo
Wewe hizo cost zote usingeingia hata moja😄Wanafanya kazi serikalini..
Mfano nishwahi pata mshangazu anafanya kazi pale gold star yeye ni IT siju ila alikua ananipa kazi za graphics pamoja na mzigo..
Chanzo cha kumpoteza ni mimi kutingwa na masomo
GHarama za ulinzi ,,,,Wakuu
Kama wewe ni mfanyabiashara jiandae kwa kuingia gharama hizi katika uendeshaji(zote ni za serikali ispokua # moja)
1. Kodi ya Frame – Malipo ya pango kwa mwenye jengo la biashara.
2. Kodi ya TRA – Kodi ya mapato au VAT inayotozwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania.
3. Leseni ya Biashara – Kibali cha kuendesha biashara, hulipwa kila mwaka.
4. Service Levy – Ada ya huduma kwa halmashauri kutokana na huduma za jamii zinazotolewa.
5. Fire Extinguisher – Gharama ya kifaa cha kuzimia moto kwa usalama wa biashara.
6. Kodi inayotokana na Mkataba wa Pango – Gharama ya kodi inayotokana na mkataba wa pango utalipia mpangaji (mwenye nyumba haangaiki)
7. Kodi ya kuuza bidhaa Mtandaoni – hii itaanza rasmi baada ya mwezi mmoja kutoka sasa. Wale wa instagram, tiktok au X mjiandae kujisalimisha.
8. Ushuru wa Taka – Ada ya kusafisha na kuondoa taka za biashara.
9. Ushuru wa Bango/Matangazo – Malipo ya kibali cha mabango ya biashara au matangazo.
Hii serikali itizame sana hizi gharama. Zinakatisha tamaa sana, utazilipa bila kujali biashara imetiki au imefeli.
Upo tayari?
Unatamani nini kiondolewe hapo?
Ndio maana bwashee anakomaa na tuduka genge pembezoni mwa mji ...huko hakuna cha TRA wala Leseni wala nini sijiu,,,na mambo yetu yale anaweka kama kawaida....Wakuu
Kama wewe ni mfanyabiashara jiandae kwa kuingia gharama hizi katika uendeshaji(zote ni za serikali ispokua # moja)
1. Kodi ya Frame – Malipo ya pango kwa mwenye jengo la biashara.
2. Kodi ya TRA – Kodi ya mapato au VAT inayotozwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania.
3. Leseni ya Biashara – Kibali cha kuendesha biashara, hulipwa kila mwaka.
4. Service Levy – Ada ya huduma kwa halmashauri kutokana na huduma za jamii zinazotolewa.
5. Fire Extinguisher – Gharama ya kifaa cha kuzimia moto kwa usalama wa biashara.
6. Kodi inayotokana na Mkataba wa Pango – Gharama ya kodi inayotokana na mkataba wa pango utalipia mpangaji (mwenye nyumba haangaiki)
7. Kodi ya kuuza bidhaa Mtandaoni – hii itaanza rasmi baada ya mwezi mmoja kutoka sasa. Wale wa instagram, tiktok au X mjiandae kujisalimisha.
8. Ushuru wa Taka – Ada ya kusafisha na kuondoa taka za biashara.
9. Ushuru wa Bango/Matangazo – Malipo ya kibali cha mabango ya biashara au matangazo.
Hii serikali itizame sana hizi gharama. Zinakatisha tamaa sana, utazilipa bila kujali biashara imetiki au imefeli.
Upo tayari?
Unatamani nini kiondolewe hapo?
Kwann wakope wao alafu kulipa tuhusishwe na sisiMadeni yatalipwaje bila makusanyo?
Mkuu mpaka Sasa kwa biashara yangu ninatakiwa niwe na lesen tano...Wewe hizo cost zote usingeingia hata moja😄