begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,833
- 2,878
inasikitisha sanaHawajalii mkuu
Focus yao kubwa ni kuwaza deni wananchi wanalipaje... wabunge hawatutetei kbs
inasikitisha sanaHawajalii mkuu
Focus yao kubwa ni kuwaza deni wananchi wanalipaje... wabunge hawatutetei kbs
Laiti wangejua basi tungekuwa mbali sanaAmna pa kutokea mkuu
Nahis 2030 kitaeleweka zaidikabisa, CCM kufanya reforms maana yake ni kujichimbia kaburi kwa mikono yao, hilo jambo hawawezi lifanya kabisa without kupigwa high pressing ambayo ita result ngovu kutoka nje kuingilia, ambayo kwa hali inavyokwenda sasa sioni dalili
Umefanya niukumbuke ule mkutano wa wafanyabiashara wa kariakoo na waziri mkuu pamoja na team yake.Wakuu
Kama wewe ni mfanyabiashara jiandae kwa kuingia gharama hizi katika uendeshaji(zote ni za serikali ispokua # moja)
1. Kodi ya Frame – Malipo ya pango kwa mwenye jengo la biashara.
2. Kodi ya TRA – Kodi ya mapato au VAT inayotozwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania.
3. Leseni ya Biashara – Kibali cha kuendesha biashara, hulipwa kila mwaka.
4. Service Levy – Ada ya huduma kwa halmashauri kutokana na huduma za jamii zinazotolewa.
5. Fire Extinguisher – Gharama ya kifaa cha kuzimia moto kwa usalama wa biashara.
6. Kodi inayotokana na Mkataba wa Pango – Gharama ya kodi inayotokana na mkataba wa pango utalipia mpangaji (mwenye nyumba haangaiki)
7. Kodi ya kuuza bidhaa Mtandaoni – hii itaanza rasmi baada ya mwezi mmoja kutoka sasa. Wale wa instagram, tiktok au X mjiandae kujisalimisha.
8. Ushuru wa Taka – Ada ya kusafisha na kuondoa taka za biashara.
9. Ushuru wa Bango/Matangazo – Malipo ya kibali cha mabango ya biashara au matangazo.
Hii serikali itizame sana hizi gharama. Zinakatisha tamaa sana, utazilipa bila kujali biashara imetiki au imefeli.
Upo tayari?
Unatamani nini kiondolewe hapo?
Kama ushagundua, ile ni nidhamu tu ya uoga. Kimoyomoyo anajisemea matusi kuwatukana tuu.Umefanya nimkumbuke ule mkutano wa wafanyabiashara wa kariakoo na waziri mkuu pamoja na team yake.
Kuna mfanya biashara mmoja alivopewa kipaza sauti ahenge hoja. Miongoni mwa aliyoyasema ni kwamba wao ni "wazalendo na wanakipenda chama chao(ccm)"
Kimahesabu wao wanalipa kidogo sana Ndio maana wanazidi kuwa matajiriTena huenda Wakubwa wanasamehewa kodi🤣
Nilisikitika sana kusikia ile kauli --- maana hata kama alikua mwanachama kweli, muktadha haukua wa mambo ya chama wala siasa.Kama ushagundua, ile ni nidhamu tu ya uoga. Kimoyomoyo anajisemea matusi kuwatukana tuu.
Wanaumia mnoo, ila hawana jinsi
Huu upigaji sijui km utakuja kuisha.Kimahesabu wao wanalipa kidogo sana Ndio maana wanazidi kuwa matajiri
Unakuta hela zimetakatishwa humo
Eti mtu kaanza biashara miaka mitano ana utajiri wa kufa mtu
Hizo kuna watu wameziweka hapo
Kwa sasa ni km sheria. Lazima kumshukuru Rais wa Zimbabwe na Chama kwanza ndo uongeeNilisikitika sana kusikia ile kauli --- maana hata kama alikua mwanachama kweli, muktadha haukua wa mambo ya chama wala siasa.
Nchi ngumu sana hii, Magu tutamkumbuka kwa mengi ikiwemo kua muasisi wa jambo hili --- watu kujiunga na chama ili kulinda interestKwa sasa ni km sheria. Lazima kumshukuru Rais wa Zimbabwe na Chama kwanza ndo uongee
Uspofanya ivo upo matatani
Km unaona unapoteza kula yako na upo kkoo, unasifia tuu ili jambo lipite
Nahis 2030 kitaeleweka zaidi
MWaka huu naona giza kbs